Tathmini yangu ya maaandamano ya CHADEMA

Ni kweli, CDM ya kabla ya 2015 na sasa ni vitu viwili tofauti. Sasa sio CDM ile, sasa imekwisha habari yake. Katika mistake walizofanya no kujitoa kwenye bunge na siasa toka 2015 na ile ya watu kuunga juhudi. Imeumiza sana wadau nikiwemo mimi.

Nikikumbuka nilivyompambania Mzee Arfi pale Mpanda na kule Arusha kwa Joshua Nassari alafu leo wameunga mkono, naumia sana. Sasa kuliko kuwa mfuasi kindakindaki ni bora nipambanie ugali wa watoto wangu.
Waliuza beans yao kwa vipande vya pesa
 
Ninakubaliana na wewe sana. Hiyo ni factor moja ambayo kulikuwa na factorial significance ya kuingiza wabunge wengi na kuukosa Urais. Why don't you at all visualize Magu's dirty politics towards opposition parties being also a significant factor? Laiti demokrasia ktk uchaguzi ingekuwepo na kusiwe na ununuzi wa Wabunge na uchaguzi 2020, hilo unalolisema kuhusu Lowasa lisingehold water.
Kipindi cha magu walinunuliwa wabunge sio wananchi.
Chadema ilikosa sifa ya kupinga ufisadi au kutaja mtu kuwa ni fisadi baada ya gia ya angani 2015.
Hadi sasa hawaeleweki wanapambania nini.
Chadema ilifanya wapinga ufisadi wengi kumfuata Magufuli maana Magufuli alionekana kuupinga ufisadi kwa vitendo.
Baada ya kuondoka Magufuli chadema ikaungana na wahuni kumtukana Magufuli ili ionekane hakufanya chochote. Bila kufanya tathmini wananchi walimuonaje Magufuli. (Na hapa ndipo penye anguko kubwa la Chadema)
Kosa lingine Chadema wakaingia maridhiano yasiyoeleweka na saa100.
Serikali hii ya Samia imefanya mambo mengi yasiyovumilika.
Ufisadi kila kona.
wao wapo kimya wamelala usingizi wa pono.
Chadema Waligomea maandamano ya wananchi yaliyoratibiwa na Dr Slaa na Mwabukusi ya kudai bandari na katiba mpya ili kuilinda serikali ya saa100. Leo tutawaamini kwa lipi?
Hakuna mwananchi aliye timamu anaweza kuwaamini hawa.
Wamepoteza kuaminika na wananchi wamebaki mayatima wanasubiri nature iwaokoe.
Hadi Ccm kuruhusu waandamane walishajua chadema ya sasa sio tishio.
CCM wameitumia Chadema kumuongezea sifa Samia kwamba ni mwanafemokrasia.
 
..nguvu iliyotumiwa na Ccm kuyapinga na kuyahujumu maandamano ilikuwa kubwa mno.
Alie weka hii hoja hapa nae ni nyumbu tuu.
Hivi Dar wakazi wake ni watu wa wapi? 90%ya watu wa Dar ni wakuja hivyo maandamano yali fana.
Zaidi Ccm walijitahidi sana kuya hujumu.
 
Huenda watu wakaiona CDM ni weak lakini bado CCM wanaiogopa
 
Hata yule mdau wa chadema kutoka kyela alieleza kuwa wamekodi magari mawili kutoka kyela... akalalama mafuso na magari kutoka sehemu mbalimbali yanasumbuliwa njiani...
Mbowe Kwa Hilo la kuwaleta watu Toka mikoani anastahili pongezi katumia akili sana .Wanasema mzigo mzito mpe mnyamwezi.

Dar es salaam ya wajanja angempata nani wa kuandamama Kwa kutembea Kwa miguu kutoka stendi ya Magufuli Hadi Posta.Siyo Rahisi.Lakini wa mikoani wanaweza kutembea mwendo mrefu Kwa miguu wamezoea huko maporini Kwao

Mfano hata Mbowe mwenyewe mjanja alichagua njia fupi ya maaandamano kutoka Buguruni Hadi Posta njia ndefu kasakizia wa mikoani
 
Kwahiyo Chadema wana ushawishi mikoani?

Kwamba wana Dar ni wana Ccm?
Wanaokoteza okoteza watu kila mahali.

Dalglish ya kupoteza support ya watu maki I.
 
Hili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema

1.CHADEMA Kwa Dar es salaam Haina nguvu Tena hii ni kutokana na idadi ndogo.ya waandamanaji waliojitokeza . Bodaboda walikuwa wachache na machinga walikuwa wakiendelea na biashara kama kawaida nk tofauti na kabla ya 2015 makundi hayo yalikuwa ndio nguvu kuu ya Chadema

2.Waandamaji wengi walitoka mikoani .Hili lilitamkwa na mama mmoja live kwenye gari ya matangazo akisema sisi tumetoka Morogoro kuja kuandamama nyie watu wa Dar es salaam mnatuangalia tu

3.Maandamano yalipita sehemu zenye watu wengi kama Kariakoo au Manzese na Buguruni lakini watu walikuwa hawaongezeki Kujiunga na maandamano tofauti na miaka ya nyuma kufikia 2015

4.CHADEMA inaonyesha kutelekeza baadhi ya wilaya au imekata tamaa nazo wilaya hizo ni Kinondoni na Temeke huko naona hawakuwashirikisha kikamilifu Wala kuwa na route za kuanzia maandamano huko

Kama ni ubunge CHADEMA naweza kusema jimbo la ubunge Dar es salaam wamelipoteza. Dar Ina watu milioni Tano na zaidi Kwa idadi ile ya watu waliojitokeza nadhani viongozi wa CHADEMA watakuwa hawakulala Kwa mawazo
Athali ya bunge la Chama kimoja
 
Unapoandika Chadema kwa Dsm haina nguvu tena, umefanya comparison na chama kipi kingine chenye nguvu?

Hapa najua umewalinganisha Chadema kwa Chadema, ile ya 2015 na ya 2024, kwa msingi huo kwangu naona Chadema bado haina mpinzani kwenye siasa zetu.

Kama mazingira ya kisiasa yangekuwa fair, basi Chadema leo isingekuwa inaitwa chama kikuu cha upinzani, wangekuwa chama tawala.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kwa hilo usijidangaye kabisa, Watu wengi wameshaumizwa sana polisi, kwa hiyo walikuwa na hofu ya kuandamana. sasa subiri waendelee kuona polisi hapigi watu kwenye maandamano ndio uje na tathimini yako. Kwasasa unajidanganya. Watu bado wanahofu.
 
Kama mwanasiasa wa upinzani ni lazima uwe dynamic kwenye stratergies zako kutimiza lengo Kuu. Hicho ndicho kinachofanyika. Process ya kubadilisha katiba yote ni ndefu. 2025 imekaribia ni lazima uje na stratergy tofauti na inayotekelezeka na yenye mafanikio. Kazi iendelee...
Kati ya vitu nimewaona cdm wa ovyo ni hii ya sheria za uchaguzi,

Chadema walimponda sana Zitto aliposema tubadilishe sheria za uchaguzi, wao wakasema wanataka katiba mpya tu,
Leo hii wanaandamana wakitaka sheria za uchaguzi zibadilishwe 😂😂 wangeungana na zito kipind kile wangekuwa mbali sanaa
 
Hili ndio Tathimini yangu ya maaandamano ya Chadema

1.CHADEMA Kwa Dar es salaam Haina nguvu Tena hii ni kutokana na idadi ndogo.ya waandamanaji waliojitokeza . Bodaboda walikuwa wachache na machinga walikuwa wakiendelea na biashara kama kawaida nk tofauti na kabla ya 2015 makundi hayo yalikuwa ndio nguvu kuu ya Chadema

2.Waandamaji wengi walitoka mikoani .Hili lilitamkwa na mama mmoja live kwenye gari ya matangazo akisema sisi tumetoka Morogoro kuja kuandamama nyie watu wa Dar es salaam mnatuangalia tu

3.Maandamano yalipita sehemu zenye watu wengi kama Kariakoo au Manzese na Buguruni lakini watu walikuwa hawaongezeki Kujiunga na maandamano tofauti na miaka ya nyuma kufikia 2015

4.CHADEMA inaonyesha kutelekeza baadhi ya wilaya au imekata tamaa nazo wilaya hizo ni Kinondoni na Temeke huko naona hawakuwashirikisha kikamilifu Wala kuwa na route za kuanzia maandamano huko

Kama ni ubunge CHADEMA naweza kusema jimbo la ubunge Dar es salaam wamelipoteza. Dar Ina watu milioni Tano na zaidi Kwa idadi ile ya watu waliojitokeza nadhani viongozi wa CHADEMA watakuwa hawakulala Kwa mawazo
Kuendesha chama inatakiwa fedha iende mashinani, angalau posho tu au hata ajira kwenye miradi ya chama. Fedha ikibaki juu tu kwa watu fulani basi, eti wakubwa mnakula halafu wadogo mnawaambia wapambanie chama!
 
Haya ndio matamanio ya Kila jizi la kura la ccm. Tunataka tume huru tu ya uchaguzi kisha uje utoe mrejesho vizuri.
 
Kati ya vitu nimewaona cdm wa ovyo ni hii ya sheria za uchaguzi,

Chadema walimponda sana Zitto aliposema tubadilishe sheria za uchaguzi, wao wakasema wanataka katiba mpya tu,
Leo hii wanaandamana wakitaka sheria za uchaguzi zibadilishwe 😂😂 wangeungana na zito kipind kile wangekuwa mbali sanaa
CHADEMA ya mwaka 2021 inawatukana ACT kwa msimamo wao wa tume huru kwanza kuelekea katiba mpya
CHADEMA ya mwaka 2024 inakubaliana na msimamo wa ACT wa mwaka 2021 kuwa tume huru kwanza.
Kweli siasa ni dynamic 😛
 
Washamba ndio wanaandama wale kutoka Mbeya , Morogoro ...Dar kila mtu na njaa zake anajitafutia ..Mtu ache biashara zake afuate ujinga wa biashara za watu ambazo ni siasa...
Wajinga wala miguu ya kuku wanaojiita wa mjini wanazidiwa na washamba hata kupigania haki zso hawajui mpaka wapiganiwe na wanaume kutoka mikoani midi Wendi wenu walala njaa.
 
Dynamism yenye kusacrifice principles hiyo ni flip-flopping. Gain yake inaweza kuwa temporary ila adhabu yake kisiasa huwa ni kubwa sana!.

Nitakupa mfano, Chadema iligain Temporary kwa kumleta Lowasa ktk chama, ikapata viti vingi bungeni, ila kwa sababu ilisacrifice agenda yake ya ufisadi leo inapata adhabu kubwa ya kutoaminika kwa kusacrifice agenda ile. Na hata watu waliokuja na Lowasa alirudi nao CCM huku CHADEMA ikipoteza mtaji wake wa kuaminika mbele ya umma kuwa kinapiga vita ufisadi.
Mafisadi pekee na wafuasi wao ndio wanaweza fikiria hivyo.
 
Kumbe sio kufikisha ujumbe ni kuangalia idadi ya watu......ccm itaendelea kuongoza manyumbu kwa kipindi kirefu sana
No ya watu kwenye maandamano yoyote huwa na impact kubwa kuliko hata hayo mabango waliyobeba.
 
Kati ya vitu nimewaona cdm wa ovyo ni hii ya sheria za uchaguzi,

Chadema walimponda sana Zitto aliposema tubadilishe sheria za uchaguzi, wao wakasema wanataka katiba mpya tu,
Leo hii wanaandamana wakitaka sheria za uchaguzi zibadilishwe 😂😂 wangeungana na zito kipind kile wangekuwa mbali sanaa
Wametaka Sheria za uchaguzi zibadilishwe au hiyo miswaada ya kipuuzi itolewe bungeni? Kwani nani kamzuia Zito kutimiza anachosimamia? Au Zito anataka mipango ya chama chake ipate support ya cdm?
 
Back
Top Bottom