Hata yule mdau wa chadema kutoka kyela
Erythrocyte alieleza kuwa wamekodi magari mawili kutoka kyela... akalalama mafuso na magari kutoka sehemu mbalimbali yanasumbuliwa njiani...
Nijuavyo mimi siasa maandamano yaliyofanyika usiku kwenye Guest house ni makubwa kuliko yake ya mchana tena M4C watu wa maji sanaa
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadokeza kwamba, baadhi ya Mabasi ya Mikoani yaliyokodiwa na Wanachama wa CHADEMA waliojitolea kushiriki Maandamano ya Amani, yaliyopangwa kufanyika Dar es salaam January 24 yamepangwa kuhujumiwa kwa kusingiziwa makosa haya na yale. Zaidi ya Mabasi 100...
www.jamiiforums.com