Taratiiiibu tunaanza kumkumbuka Lowassa

Taratiiiibu tunaanza kumkumbuka Lowassa

ina maana ajira za lowasa zilikuwa madada poa au kujaza watukama nida wakati hawana tija ,lowasa utamkumbuka wewe na familia yako wengi tunataka afungwe
 
Wizara ya Afya inatarajia kuajiri 10000....

Ujenzi wa bomba la mafuta ni kama utaajiri watu zaidi ya 20000...

Endelea kuzungusha mikono tu!!
 
mradi wa dege eco village umesimama na pale kulikua na vijana wa kitanzania wasiopungua 400 inamaana mpaka sasa awana kibarua. mzigo wa kwanza huo
wale waliokua wamekopa ela na kuwekeza kwenye pool wajipatie riziki nayo imepigwa stop. mzigo wa pili
kulingana na mwenendo wa uchumi wetu kuna hatari ya makampuni yetu kupunguza wafanyakazi (bakhressa yuko mbioni)
nida kapunguza vijana kibao na sijui kipindi anaajiri akuzingatia mahitaji ama la
uchumi supermarket hoi.
sasa group lote hili linaenda wap?
mwenye kaya kasema wakalime je mashamba wanayo?
na kipindi cha kampeni alikua akitoa ahadi za kufufua viwanda je viko wapi na ilifikia hatua mpaka akawa anaapa kwa jina la mungu atashughulikia ajira za vijana leo kawageuka kulikoni?
mkuu fikiria kwa umakini uyafanyayo maana sijaona manufaa ya wewe kutumbua vipele vya joto wakati majipu unayaacha(escrow) hilo tu hayo mengine utayajua mwenyewe
na usidili na dar tu wakati kuna morogoro pale viwanda vya asante moproco na komoa soap watu wanafugia mbuzi. hawa vijana wa moro unajua walipo?
mkuu kumbuka awa wanaokusifia kutwa kuchwa ndio wa kwanza kulalama utakapoanza kuvurunda 2020 sio mbali
watakaokuchukia ni wengi kuliko watakaokupenda.
kumbuka watu awaendi kwa ahadi hewa
wengi wanajitambua sasa

!
!
Hada nikikumbuka ahadi ya elimu bure na kuchangia kwa kibali maalumu nachoka kabisa.
 
TANZANIA YA MAGUFULI ITAKUWA...YA VIWANDAAAAAAAA!!!

Teh Teh Teh....
 
Mkuu
Kazi ya u Malaya wa Ki Siasa ume i Master Mbaya
kabisa mkuu

huyu ni mimi, nitasimamia ukweli no matter unatokea wapi na kwa nani.....ita majina yote i dont care

pole inauma, you aimed kuwa mkuu wa wilaya under lowassa?? hata ukatibu mkuu haukufikiriwa? pole mkuu

rusha tusi lingine....maana najua uko kwenye majonzi

tujenge taifa utakuwa na amani sana; mkipost utumbo siwaachi katu
 
NAKUMBUKA KAURI MOJA YA JPM KWENYE KAMPENI ZAKE

NANUKUU
"Kwenye serikali yangu sitaki kusikia mambo ya mikachato michakato ikitokea waziri akajibu mambo ya michakoto hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii haki ya mungu namchakata yeye"
Nimecheka sana! Nyingine alisema waziri wa maji ikiwa watu watakosa maji yeye atageuka maji!!!

Daah huyu bwana!!!
 
kabisa mkuu

huyu ni mimi, nitasimamia ukweli no matter unatokea wapi na kwa nani.....ita majina yote i dont care

pole inauma, you aimed kuwa mkuu wa wilaya under lowassa?? hata ukatibu mkuu haukufikiriwa? pole mkuu

rusha tusi lingine....maana najua uko kwenye majonzi

tujenge taifa utakuwa na amani sana; mkipost utumbo siwaachi katu

Kichefu chefu wewe
 
Dahh ni kweli kabisa lowassa tamkumbuka sana haswaa kwa haya machache

interview yake na zuhra yunus wa BBC

Mafuriko yake

Ahadi yake pale tunduma wakat wa kampeni alisemaga watu wamefurika mno af maiki ni mbovu na kwamba atarudi kesho unfortunately mpk leo kesho haijafka

Kitendo cha kudekiwa barabara pale musoma na vjana wakereketwa

pia zle speech zake za dkk tano kuelezea mabadiliko ya watanzania zaidi ya million arobaini

mbunge wa monduli kwa zaidi ya miaka 20 wilaya yenye kata 20 tu lkn ina shda ya maji umeme,barabara,hospitali na shda zote unazozijua ww lkn kaja na mpango wa siku mia wa kuijenga tz mpya

kw kifupi namkumbuka kwa mengi ila leo nimeanza na hayo machache

NB udhaifu wa magufuli hauwezi kuwa nguvu ya lowassa kamwe
 
mradi wa dege eco village umesimama na pale kulikua na vijana wa kitanzania wasiopungua 400 inamaana mpaka sasa awana kibarua. mzigo wa kwanza huo
wale waliokua wamekopa ela na kuwekeza kwenye pool wajipatie riziki nayo imepigwa stop. mzigo wa pili
kulingana na mwenendo wa uchumi wetu kuna hatari ya makampuni yetu kupunguza wafanyakazi (bakhressa yuko mbioni)
nida kapunguza vijana kibao na sijui kipindi anaajiri akuzingatia mahitaji ama la
uchumi supermarket hoi.
sasa group lote hili linaenda wap?
mwenye kaya kasema wakalime je mashamba wanayo?
na kipindi cha kampeni alikua akitoa ahadi za kufufua viwanda je viko wapi na ilifikia hatua mpaka akawa anaapa kwa jina la mungu atashughulikia ajira za vijana leo kawageuka kulikoni?
mkuu fikiria kwa umakini uyafanyayo maana sijaona manufaa ya wewe kutumbua vipele vya joto wakati majipu unayaacha(escrow) hilo tu hayo mengine utayajua mwenyewe
na usidili na dar tu wakati kuna morogoro pale viwanda vya asante moproco na komoa soap watu wanafugia mbuzi. hawa vijana wa moro unajua walipo?
mkuu kumbuka awa wanaokusifia kutwa kuchwa ndio wa kwanza kulalama utakapoanza kuvurunda 2020 sio mbali
watakaokuchukia ni wengi kuliko watakaokupenda.
kumbuka watu awaendi kwa ahadi hewa
wengi wanajitambua sasa
Unaemkumbuka lowasa peke yako.
 
Ccm ndo itakua mmehamia ukawa na kumkumbuka lowasa baada ya kuisoma namba ccm,namba yenyewe ya kirumi hahaha
Tulien tu.mabadiliko ndo haya
 
Lazima tukubali watanzania wenzangu kua tunapitia kipindi kigumu ktk hali ya kuibadilisha Tanzania tuliyokua nayo kwenda kwenye Tanzania yenye maendeleo ya kiuchumi wa kati, uwajibikaji na uchapaji kazi, watanzania wenzangu tusiwe tuu watu wakulaumu ktk kila hatua na tukawa tunaaangalia negative impact pekeee, ivi ni kweli hamjui mambo makubwa na yenye faida kwa taifa kwa ujumla yaliofanywa na serikali chini ya magu? Au mpka tuorodheshe? Tukae tukijua vizur hupatkana kwa shda, bado ni mapema sana, tunaweza kuptia kpnd kigum zaid ya hich ili tuipate tanzania yenye neema, ata km hatutoiishi sisi bas vizaz vijavyo wanaweza kuiishi hyo Tz yenye neema iliyojengwa na sisi, kwa kumalizia embu twenden tukaangalie jamuhur ya china ilipitia vingap kufika pale chini ya msosholist mausetung, Tusiwe wepes wa kulaumu Wanzania wenzangu
 
Hivi ulitegemea viwanda avijenge kwa mwaka mmoja tu tena ambao hata haujafika,pia so far JPM aafanya kai nzuri ya kuwatumbua wale waliotufikisha hapa, hatuwezi kuwa na viwanda kama tutaendelea kuwa na watendaji wabovu..JPM i jembe subiri utamuona akikamilisha aliyoya ahidi
 
Mleta mada kwanza rudi shule kajifunze matumizi ya helufi kubwa na ndogo, hapo ndiyo utamkubuka Lowassa.

Elimu

Elimu

Elimu

Pili kwa faida ya JF labda tufahamishe tunamkubuka Lowassa kwa lipi?

Kikubwa ninachomkubuka mimi ni kuzungusha mikoni na kuimba mabadiliko hamna cha ziada.
 
Hata ukiwa ICU ukiona thread ya Lowasa lazima ujibu eeeh....

teh teh teh teh. . Pole sana
 
wewe itakua unahamu tu ya kideki barabara
 
mradi wa dege eco village umesimama na pale kulikua na vijana wa kitanzania wasiopungua 400 inamaana mpaka sasa awana kibarua. mzigo wa kwanza huo
wale waliokua wamekopa ela na kuwekeza kwenye pool wajipatie riziki nayo imepigwa stop. mzigo wa pili
kulingana na mwenendo wa uchumi wetu kuna hatari ya makampuni yetu kupunguza wafanyakazi (bakhressa yuko mbioni)
nida kapunguza vijana kibao na sijui kipindi anaajiri akuzingatia mahitaji ama la
uchumi supermarket hoi.
sasa group lote hili linaenda wap?
mwenye kaya kasema wakalime je mashamba wanayo?
na kipindi cha kampeni alikua akitoa ahadi za kufufua viwanda je viko wapi na ilifikia hatua mpaka akawa anaapa kwa jina la mungu atashughulikia ajira za vijana leo kawageuka kulikoni?
mkuu fikiria kwa umakini uyafanyayo maana sijaona manufaa ya wewe kutumbua vipele vya joto wakati majipu unayaacha(escrow) hilo tu hayo mengine utayajua mwenyewe
na usidili na dar tu wakati kuna morogoro pale viwanda vya asante moproco na komoa soap watu wanafugia mbuzi. hawa vijana wa moro unajua walipo?
mkuu kumbuka awa wanaokusifia kutwa kuchwa ndio wa kwanza kulalama utakapoanza kuvurunda 2020 sio mbali
watakaokuchukia ni wengi kuliko watakaokupenda.
kumbuka watu awaendi kwa ahadi hewa
wengi wanajitambua sasa

Huwezi kutengeneza nchi kwa kutumia uchumi feki... kama mabadiliko feki yalivyokataliwa na kusahihishwa na Watanzania ndivyo hivyo hivyo uchumi feki nao utakataliwa na kusahihishwa. Haijalishi wangapi wanazungurusha mikono kuunga mkono.
 
  • Thanks
Reactions: cpt
kuapa kwa jina la Mungu halafu ukafanya kinyume malipo yake ni LAANA YA HATARI SANA .
Inabadi tubadili utaratibu viongozi wawe wanaapa kwa mizimu ya mababu (tuone kama hawatachizika wasipotekeleza viapo vyao)! Maana naona kama imekua haina maana tena kuapa kwa Mungu huyu tuliyeletewa na wazungu na waarabu.
 
Back
Top Bottom