mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
Mradi wa dege eco village umesimama na pale kulikuwa na vijana wa kitanzania wasiopungua 400 inamaana mpaka sasa hawana kibarua.
Mzigo wa kwanza huo wale waliokua wamekopa ela na kuwekeza kwenye pool wajipatie riziki nayo imepigwa stop.
Mzigo wa pili kulingana na mwenendo wa uchumi wetu kuna hatari ya makampuni yetu kupunguza wafanyakazi (bakhressa yuko mbioni)
nida kapunguza vijana kibao na sijui kipindi anaajiri akuzingatia mahitaji ama la uchumi supermarket hoi. Sasa group lote hili linaenda wapi?
Mwenye kaya kasema wakalime je mashamba wanayo?
na kipindi cha kampeni alikua akitoa ahadi za kufufua viwanda je viko wapi na ilifikia hatua mpaka akawa anaapa kwa jina la mungu atashughulikia ajira za vijana leo kawageuka kulikoni?
Mkuu fikiria kwa umakini uyafanyayo maana sijaona manufaa ya wewe kutumbua vipele vya joto wakati majipu unayaacha(escrow) hilo tu hayo mengine utayajua mwenyewe na usidili na dar tu wakati kuna morogoro pale viwanda vya asante moproco na komoa soap watu wanafugia mbuzi. hawa vijana wa moro unajua walipo?
Mkuu kumbuka awa wanaokusifia kutwa kuchwa ndio wa kwanza kulalama utakapoanza kuvurunda 2020 sio mbali watakaokuchukia ni wengi kuliko watakaokupenda.
Kumbuka watu awaendi kwa ahadi hewa wengi wanajitambua sasa.