Taratiiiibu tunaanza kumkumbuka Lowassa

Taratiiiibu tunaanza kumkumbuka Lowassa

kwa taharifa yako niko vigwaza jiran na hii shule ya msingi kisogo mm nakaa shamba na mazingira ya shamba nayajua
 
mradi wa dege eco village umesimama na pale kulikua na vijana wa kitanzania wasiopungua 400 inamaana mpaka sasa awana kibarua. mzigo wa kwanza huo
wale waliokua wamekopa ela na kuwekeza kwenye pool wajipatie riziki nayo imepigwa stop. mzigo wa pili
kulingana na mwenendo wa uchumi wetu kuna hatari ya makampuni yetu kupunguza wafanyakazi (bakhressa yuko mbioni)
nida kapunguza vijana kibao na sijui kipindi anaajiri akuzingatia mahitaji ama la
uchumi supermarket hoi.
sasa group lote hili linaenda wap?
mwenye kaya kasema wakalime je mashamba wanayo?
na kipindi cha kampeni alikua akitoa ahadi za kufufua viwanda je viko wapi na ilifikia hatua mpaka akawa anaapa kwa jina la mungu atashughulikia ajira za vijana leo kawageuka kulikoni?
mkuu fikiria kwa umakini uyafanyayo maana sijaona manufaa ya wewe kutumbua vipele vya joto wakati majipu unayaacha(escrow) hilo tu hayo mengine utayajua mwenyewe
na usidili na dar tu wakati kuna morogoro pale viwanda vya asante moproco na komoa soap watu wanafugia mbuzi. hawa vijana wa moro unajua walipo?
mkuu kumbuka awa wanaokusifia kutwa kuchwa ndio wa kwanza kulalama utakapoanza kuvurunda 2020 sio mbali
watakaokuchukia ni wengi kuliko watakaokupenda.
kumbuka watu awaendi kwa ahadi hewa
wengi wanajitambua sasa
Hivi ni kwa nini mnaongelea ushabiki tu na siyo mambo yenye facts and figures ili mtu unapojadili, akili ifanye kazi. Kila siku ni mambo ya kishabiki tu, hamchoki?
 
Mi naona Kwakuwa mkuu bado anasuka inchi ikae katika mstari kwa sababu bila kuwa na watendaji wazuri ni kazi bure atakuwa anafanya kama ataendelea kuwa na watendaji wa serikali wezi na pia ni kazi bure kuwa na viwanda na makampuni yasiolipa kodi mda si mrefu tunaona mafanikio yake watakuja wawekezaji wema watawekeza tutaachana na mamluki na pia mwezi 7 tunaenda kwenye bajeti hapo ndio tutajua mwelekeo wa serikali ya magofuli inavipaumbele gani tusubiri TIME WILL TELL
 
kuapa kwa jina la Mungu halafu ukafanya kinyume malipo yake ni LAANA YA HATARI SANA .
Mkuu sema tuu Mungu ameachana na zile adhabu za papo kwa papo. Vinginevyo kuna viongozi wa awamu hii wangepigwa Ukoma ghafla kwa kulitaja bure na kwa dhihaka jina lake.
 
kwani amewahi kuwa rais? wa awamu ya ngapi? get over that thing ambaye mlisema chaguo la Mungu na eti kila anayemsema vibaya atakufa au kupatwa mabaya!

unakuwa huna akili sawa sawa ukimsema mtu unamkumbuka ambaye haujawahi ku evaluate his performance hata alipokuwa waziri mkuu au waziri wa kawaida hakuna kubwa la kukumbukwa alilosimamia na kulifanya ambalo leo hii unaweza kufananisha ma JPM
Tanzania ya magufuli ni Tanzania ya viwanda. Nashangaa uwanda wa pwani hauna Kiwanda hata kimoja cha samaki. Yule ni mzee wa kushangaa. Itafika 2020 atashangaa wakati unavyokimbia ukiwa madarakani bila kutimiza ahadi
 
Suala la viwanda ni mchakato unaohitaji mda mrefu,tuvute subira kuona namna gani atarekebisha sera za kuhusu viwanda na kuvutia wawekezaji.Ili mtu awekeze kwenye nchi yako kuna vitu vingi vya kuzingatia hasa pato la kila mwananchi.

Ni sahihi kupiga stop michezo na ulevi asubuhi asubuhi ila inatakiwa kuwe mipango mizuri ya nini vijana na wasio na ajira wakafanye.Suala la Mil.50 kwa kila kijiji ingebadilishwa iwe kusaidia angalau vikundi 5 kwa kila kijiji kwa kuwakopesha na kuwe na wataalamu walioajiriwa angalau 3 au 4 kila wilaya kwa ajili ya kutoa msaada wa kitaalamu katika vikundi hivyo.
NAKUMBUKA KAURI MOJA YA JPM KWENYE KAMPENI ZAKE

NANUKUU
"Kwenye serikali yangu sitaki kusikia mambo ya mikachato michakato ikitokea waziri akajibu mambo ya michakoto hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii haki ya mungu namchakata yeye"
 
Unamkumbuka kwa kukuibia pesa na kukufanya hadi leo unalipia umeme juu kwasababu ya madeal yake ya richmond si ndio
 
leo umepiga marufuku madadapoa je mbadala wa hawa watu ili waweze kujipatia kipato ni upi?
Kwa hiyo wewe Bawacha unaona ni bora waruhusiwe kuendelea kuuza miili yao na kama mgechukua nchi mgewekeza kwenye wauza miili kama ajira rasmi!
 
Your trying to boil an empty pot so that you have soup,ok carry on!
 
mradi wa dege eco village umesimama na pale kulikua na vijana wa kitanzania wasiopungua 400 inamaana mpaka sasa awana kibarua. mzigo wa kwanza huo
wale waliokua wamekopa ela na kuwekeza kwenye pool wajipatie riziki nayo imepigwa stop. mzigo wa pili
kulingana na mwenendo wa uchumi wetu kuna hatari ya makampuni yetu kupunguza wafanyakazi (bakhressa yuko mbioni)
nida kapunguza vijana kibao na sijui kipindi anaajiri akuzingatia mahitaji ama la
uchumi supermarket hoi.
sasa group lote hili linaenda wap?
mwenye kaya kasema wakalime je mashamba wanayo?
na kipindi cha kampeni alikua akitoa ahadi za kufufua viwanda je viko wapi na ilifikia hatua mpaka akawa anaapa kwa jina la mungu atashughulikia ajira za vijana leo kawageuka kulikoni?
mkuu fikiria kwa umakini uyafanyayo maana sijaona manufaa ya wewe kutumbua vipele vya joto wakati majipu unayaacha(escrow) hilo tu hayo mengine utayajua mwenyewe
na usidili na dar tu wakati kuna morogoro pale viwanda vya asante moproco na komoa soap watu wanafugia mbuzi. hawa vijana wa moro unajua walipo?
mkuu kumbuka awa wanaokusifia kutwa kuchwa ndio wa kwanza kulalama utakapoanza kuvurunda 2020 sio mbali
watakaokuchukia ni wengi kuliko watakaokupenda.
kumbuka watu awaendi kwa ahadi hewa
wengi wanajitambua sasa
Bakhresa atapunguza , kinyerezi itaajiri, moproco na wengineo uliowataja wote wataachisha, Bomba la uganda litaajiri watu zaidi ya 1500,
Pia ukumbuke kuna miradi kibao inakuja ambayo itatoa ajira kibao kwa watanzania.

Jiulize kwa kina, Je ni kwa nini Bakhresa anapunguza leo hii baada ya kutumbuliwa jipu la ukwepa kodi?

Kwa nini unaamini uchumi unadorola wakati huu wa watu kuambiwa walipe kodi ipasavyo?

Je unaanza kumkumbuka Lowassa kwa lipi U Richmond au the friends of Lowasa waliotaka aingie ikulu Ili michongo ya kuifilisi nchi I endelee?
Hongera JPM kwa kuusambaratisha mtandao [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Yaaan!!! Hakuna upumbavu niliousoma mwaka huu kama hii, kuna wachumia tumbo ila wee umezidi, unachumia magoti
 
NAKUMBUKA KAURI MOJA YA JPM KWENYE KAMPENI ZAKE

NANUKUU
"Kwenye serikali yangu sitaki kusikia mambo ya mikachato michakato ikitokea waziri akajibu mambo ya michakoto hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii haki ya mungu namchakata yeye"
Ha ha ha,alisema tu lakini hakuna kitu unaweza fanya pasipo na data kamili,utafiti n.k BTW viwanda hajengi yeye wala haijengi serikali.Lazima uweke mifumo itakayowavuta hao wawekezaji ili waje kwako na si kwingineko,hiyo mifumo ni sera na lazima uitengeneze kuhakikisha Serikali inanufaika,wananchi wananufaika na mazingira yanatunzwa hivyo huwezi ukakurupuka asubuhi ukatamka tu ukafikiri watakuelewa na hiyo ndo michakato na upembuzi yakinifu mengine mbwembwe.
 
Umeonaee eeeh! ila mm kuna kitu mh. Kaniudhi nipo Geita makao makuu ya mkoa kuna hosptal teule ya rufaa lakin duka la MSD limejengwa Chato kama km 40 kutoka hapa
 
Back
Top Bottom