Taratiiiibu tunaanza kumkumbuka Lowassa

Taratiiiibu tunaanza kumkumbuka Lowassa

leo umepiga marufuku madadapoa je mbadala wa hawa watu ili waweze kujipatia kipato ni upi?
Mmmh mtoa mada na wakosoaji wengne mnanipa wasi wasi juu ya uwezo wenu na uwelewa wa mambo au labda kama mnasukumwa na mihemko ya siasa za kichama, ivi kweli unafikilia solution ya kukosa kaz ni kujiuza??? What if ingekua yeye mwenyewe rais magu angetamka km hauna ajira nenda kajiuze c mungemuona chizi na mungeandamana apa?

Mi nahis tungeachana na hii mada mana nahis ni upotezajibwa muda
 
Mleta mada kwanza rudi shule kajifunze matumizi ya helufi kubwa na ndogo, hapo ndiyo utamkubuka Lowassa.

Elimu

Elimu

Elimu

Pili kwa faida ya JF labda tufahamishe tunamkubuka Lowassa kwa lipi?

Kikubwa ninachomkubuka mimi ni kuzungusha mikoni na kuimba mabadiliko hamna cha ziada.

Hiyo ndo nini sasa?

Halafu huna haja ya kumkumbuka Lowassa wakati ulilichagua jembe lako Magufuli.
 
Huwezi kutengeneza nchi kwa kutumia uchumi feki... kama mabadiliko feki yalivyokataliwa na kusahihishwa na Watanzania ndivyo hivyo hivyo uchumi feki nao utakataliwa na kusahihishwa. Haijalishi wangapi wanazungurusha mikono kuunga mkono.
Hahahah hadi nakuonea huruma,
 
kwani amewahi kuwa rais? wa awamu ya ngapi? get over that thing ambaye mlisema chaguo la Mungu na eti kila anayemsema vibaya atakufa au kupatwa mabaya!

unakuwa huna akili sawa sawa ukimsema mtu unamkumbuka ambaye haujawahi ku evaluate his performance hata alipokuwa waziri mkuu au waziri wa kawaida hakuna kubwa la kukumbukwa alilosimamia na kulifanya ambalo leo hii unaweza kufananisha ma JPM
Shule za kata nani aliyezisimamia? Magu kipi kafanya? Si bado anaunda serikali yake?
 
Suala la viwanda ni mchakato unaohitaji mda mrefu,tuvute subira kuona namna gani atarekebisha sera za kuhusu viwanda na kuvutia wawekezaji.Ili mtu awekeze kwenye nchi yako kuna vitu vingi vya kuzingatia hasa pato la kila mwananchi.

Ni sahihi kupiga stop michezo na ulevi asubuhi asubuhi ila inatakiwa kuwe mipango mizuri ya nini vijana na wasio na ajira wakafanye.Suala la Mil.50 kwa kila kijiji ingebadilishwa iwe kusaidia angalau vikundi 5 kwa kila kijiji kwa kuwakopesha na kuwe na wataalamu walioajiriwa angalau 3 au 4 kila wilaya kwa ajili ya kutoa msaada wa kitaalamu katika vikundi hivyo.
Kwanini ubadilishe suala la Mil 50 kila kijiji? Wakati watu walimchagua wakiamini vijiji vyao vitawezeshwa? Au walisema tu pasipo mpangilio?
 
kwani amewahi kuwa rais? wa awamu ya ngapi? get over that thing ambaye mlisema chaguo la Mungu na eti kila anayemsema vibaya atakufa au kupatwa mabaya!

unakuwa huna akili sawa sawa ukimsema mtu unamkumbuka ambaye haujawahi ku evaluate his performance hata alipokuwa waziri mkuu au waziri wa kawaida hakuna kubwa la kukumbukwa alilosimamia na kulifanya ambalo leo hii unaweza kufananisha ma JPM
Ukiona mtu anaweweseka achana naye maana bangi siku hizi wanavuta hata usiowadhania
 
Lazima tukubali watanzania wenzangu kua tunapitia kipindi kigumu ktk hali ya kuibadilisha Tanzania tuliyokua nayo kwenda kwenye Tanzania yenye maendeleo ya kiuchumi wa kati, uwajibikaji na uchapaji kazi.
Nakuunga mkono.
watanzania wenzangu tusiwe tuu watu wakulaumu ktk kila hatua na tukawa tunaaangalia negative impact pekeee, ivi ni kweli hamjui mambo makubwa na yenye faida kwa taifa kwa ujumla yaliofanywa na serikali chini ya magu?Au mpka tuorodheshe?
Nchi hii ilitakiwa iwe imepiga hatua mda mrefu.Je,ni kitu gani kimeirudisha nyuma zaidi?Nafikiri unajua kuwa ni kuchaguliwa viongozi walafi,wapenda madaraka,kuchaguana na kuwekana kwenye nafasi nzuri bila kujali weledi pamoja na kulindana.Kuzuia hiyo japo katiba ya Warioba ingezuia kidogo(maana nayo niliona ina mapungufu fulani)Ipo siku Magu ataondoka madarakani,je atakayepokea kijiti atakuwa na uchungu wa maendeleo ya nchi kama yeye?Katiba mpya ni muhimu.
Tukae tukijua vizur hupatkana kwa shda, bado ni mapema sana
Nasubiri mipango mipya,mikakati ya utekelezaji na kuinua uchumi wa kila mwananchi kwanza.
tunaweza kuptia kpnd kigum zaid ya hich ili tuipate tanzania yenye neema, ata km hatutoiishi sisi bas vizaz vijavyo wanaweza kuiishi hyo Tz yenye neema iliyojengwa na sisi
Ila kwa kutenda haki pande zote bila kujali ni mwanasiasa au mtendaji.Je,hilo linafanyika?Kwa kutofanya kazi kwa mihemko ya kisiasa au kwa kutoa vyeo kulipa fadhila.
kwa kumalizia embu twenden tukaangalie jamuhur ya china ilipitia vingap kufika pale chini ya msosholist mausetung, Tusiwe wepes wa kulaumu Wanzania wenzangu
Mao Tse-tung au Mao zedong.Je commitment aliyokuwa nayo Mao ndo aliyonayo Magu?Sheria iliyotungwa China wakati wa Mao Tanzania ipo na inawagusa wote bila kubagua?Mi nasema bado ni mapema sana,bado nasubiria angalau miaka miwili kwanza ndo nitajua.
 
Kwanini ubadilishe suala la Mil 50 kila kijiji? Wakati watu walimchagua wakiamini vijiji vyao vitawezeshwa? Au walisema tu pasipo mpangilio?
Watu wakiwa na hela,watachangia sehemu kubwa ya uchumi wa nchi kwa kulipa kodi na hivyo automatically fedha zitafika nyingi hadi vitongojini.Lakini pia nani atawekeza kiwanda chake kwa wananchi wasio na pato la wastani.Hata wewe ukitaka kuwekeza mahali hata duka tu utaangalia kipato cha wananchi wa sehemu hiyo.
 
Miezi minne tu tayari viwanda viwepo kwani Rais ni mwana mazingaombwe...tupige kazi halali huku tukichagiza maendeleo sio kuvuta mibange,viroba na kushindia pooltable toka saa moja asb.
tulime tuzalishe viwanda vitaibuka kwawingi,bila kuzalisha malighafi viwanda vitatoka wapi. Wacha rais abane shughuli zote zakimagumashi watu watashika tu jembe bila kujielewa,mtu unajibanza kwenyepool table eti ndo umejiajiri? Unazalisha bidhaa gani kwenye pooltable zaidi yakupotezea muda rundo la vijana,Tena hapohapo unawauzia na mibange kuwapotezea na akili! Huu mlongo Wa Magufuli bilakazi mabishoo watakomeshwa,unajidai fifte senti kurapurapu kitozi hutaki kazingumu inakula kwako. Njooni tulime mihapa nshapanda tuombee mvua
 
Unachosema ni sahihi kabisa, kwa mtu mwenye akili timamu asiyekuwa shabiki wa chama tu atakuelewa.
Hakuna mwenye akili timamu mwenye uwezo wa kukubaliana na hizo pumba. Kwa maoni yangu hili swala la kuwakamata vijana wasio na kazi maalum na kuwapeleka mjini kutasaidia tena sana. Kwani ukifuatilia historia ya hao watu wengi wao walikuwa hawataki shule na wamekimbia vijijini kwao ambako wangeweza kufanya shughuli zozote za maendeleo. Afu nyinyi kama magrt thinker muache kupotosha jamii. Hivi alivosema wakalime kwani hakuna kazi zingine zaid ya kulima ambazo zinaweza kumpatia kipato chake? Au mlitaka rais aorodheshe kazi zote ndo muelewe anachotaka ni watu wapige kazi? Imani yangu kama serikali itaendelea kukazia hili jambo baada hata ya mwaka hivi tutakuwa tumepunguza kiwango kiwango kikubwa Sana cha vijana wanaikimbilia mjini na kuacha kufanya kazi vijijini vile vile hata kwa wasiopenda kusoma watosoma kwan kwa mazingira yatakayokuwepo elimu yako ndo ajira yako tofauti na sasa mtu anaacha shule na kuja kupiga debe huku mjini.

Ukitaka kuamini nenda ubungo kaangalie vijana waliojaa pale uliza mikoa waliyotoka, wengi wametoka vijijini na hata historia zao kielimu ni mbovu.
 
Hiyo ndo nini sasa?

Halafu huna haja ya kumkumbuka Lowassa wakati ulilichagua jembe lako Magufuli.
Wewe uliomchagua Lowassa ndiyo unamkumbuka ulivyokuwa unadeki barabara.
 
Naona bado unaendelea upumbavu club... Lowasa angefanya nini nchi hii we mbulula... Au unajua kuandika na kusoma tu ila ujui kutazama vitu kwa kina.. Tanzania tunaeneo kubwa sana vijana waende kulima

Funga bakuli zero wewe.
 
Kwenye hili la makampuni kupunguza wafanyakazi na mimi tatizo naliona
 
Back
Top Bottom