Taratiiiibu…. Geuka Nyuma!!!

sikukuona around nikamtuma FF...labda kapanga kuzifikisha siku ya iddi

ha ha ha... Can you believe me na FF hua tunawasiliana kwa nadra saana... ila siku tukiamua hua tunajaza inbox...lol
 
ha ha ha... Can you believe me na FF hua tunawasiliana kwa nadra saana... ila siku tukiamua hua tunajaza
inbox...lol

mie sikukuona around ndio nikaona nimtumie yeye ila sasa naona njia yake imekuwa ndefu...ngoja nikamsake jukwaa la siasa,maana Shosti wako huyu ni hatari.
 
Kila nkageuka nyuma namwona AshaDii ndani ya hijab yake, kila nikajitahidi nione kingine nakuona wewe. Sasa sijui kama ni sawa ama la?
 
mie sikukuona around ndio nikaona nimtumie yeye ila sasa naona njia yake imekuwa ndefu...ngoja nikamsake jukwaa la siasa,maana Shosti wako huyu ni hatari.

Saizi mda wangu wa mchana umechakachuliwa kabisa... hivo mpaka nite.... hua nakuwepo for a few hours thou leo kidogo nimevuta... Na FF ana thread kule complaints.... Ukitaka kujua yupo jukwaanai lazima atinge pale...lol
 
nimeona na mie nimetia neno maana naelekea kuchoka sasa...suna wapiga saa ngapi...kesho nasafiri so nasikitika sitanuia usiku huu
 
Kila nkageuka nyuma namwona AshaDii ndani ya hijab yake, kila nikajitahidi nione kingine nakuona wewe. Sasa sijui kama ni sawa ama la?

Vuvuzela mara ya kwanza kuku qoute niongee lolote na wewe alafu nipo -Speechless- Dah!!! Not fair kabisa...lol
 
nimeona na mie nimetia neno maana naelekea kuchoka sasa...suna wapiga saa ngapi...kesho nasafiri so nasikitika sitanuia usiku huu

Sangara hio safari masaa mangapi mpaka ushindwe nuia?? mbona sikupati...
 
ni kijijini na bahati mbaya natoka huku kwenye saa 2 hivi.
nashukuru kwa kunitakia kheri!

Yeah... nimechoka sasa nipumzike... Again safari njema na nimeelewa sasa kwanini hutanuia...
 
Big screen;

Mario P ..insisting ... No Anger ..No Threat ..Reasoning is the best!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…