Habari wana JF….
Poleni na hongereni kwa saumu (kwa wafungaji…😉
na pia mlolongo wa kazi na majukumu…
Back to topic… Hapo hapo ulipo keti/jiegesha/jilaza/simama/
jiachia or whatever… Please... Do me a favour and taratiiiibu
Geuka nyuma…. What do you see???…. Tafadhali tell us…
any thing' Yaweza kua kimoja ama zaidi ya kitu kimoja…
P.S: Vigezo na Masharti ya JF Rules Vizingatiwe….(ADI)
Namuona abiria wangu niliyempa lifti akitabasaam!
Mgomo wa mafuta uendelee hivi hivi, umeniletea mahusiano mazuri na jirani zangu!
Co worker saumu imekubana sana leo nini ? salama ? nikigeuka nyuma naona ukuta wa kijani.
Kuna Mob inanikimbiza baada ya ku-kukwapua hii HTC hapa T-Mobile ngoja nikifika sehemu pazuri na noma ikiisha tawapa feed back.....
Seriously though naona giza tu baada ya umeme kukatika huu mwanga wa laptop hautoshi na mishumaa bei mbaya
Ile kugeuka nyuma tu nikaona bonge la msururu wa magari nyuma ya gari yangu. Kumbe ni shell moja tu inayouza mafuta dom. Noumer!!!
Rejao i hope huyo abiria ni Me...lol... and be careful... ku browse JF while driving is dangerous....lol
Ni chumbani kwangu,very light green nimesoma wachina wanatumia it has a calming effect.Co worker acha kabisa... kazi linibana hata saumu sioni kabisa....lol... basi tu wanted nionane na Co worker thus the post...
Na huo ukuta mmmmh! I hope sio home.... Green??
Co worker saumu imekubana sana leo nini ? salama ? nikigeuka nyuma naona ukuta wa kijani.
Ni chumbani kwangu,very light green nimesoma wachina wanatumia it has a calming effect.