Lol.Kama hii ya Zamani say inaisha 2023?ukomo ni uleule uliopo, ikiisha unaombavya kieletronic, ambapo matumizi yake mwisho ni 2019/2020
Lol.Kama hii ya Zamani say inaisha 2023?ukomo ni uleule uliopo, ikiisha unaombavya kieletronic, ambapo matumizi yake mwisho ni 2019/2020
mmmh ipo yakufikia huko kweli?Lol.Kama hii ya Zamani say inaisha 2023?
Zinatoka kwa miaka kumi.Passport ya 2015 inaisha 2025,ya 2016=2026 nkmmmh ipo yakufikia huko kweli?
kama sijakosea mwisho ni miaka niliyotaja...sina uhakika sana
So hizi ID zingine watasumbua sana au?
Mfano Driving licence?
YeahB
Be serious...
30M?
Hustahili ndio. Pasipoti ni kwa ajili ya safar nje ya nchi yako. Ukitaka kitambulisho cha uraia nenda NIDAKama sisafiri sistahili kua na passport??
Pamoja sana mkuuGood mzee baba
Sawa mkuuHustahili ndio. Pasipoti ni kwa ajili ya safar nje ya nchi yako. Ukitaka kitambulisho cha uraia nenda NIDA
Hakuna pasipoti ya permanent, hio unayodai permanent inaisha muda wa matumizi baada ya miaka 10Permanent bro
Kama usafiri kwa muda huu. "Safari"
Hapo ndio wanachemka,Hivyo kama unaihitaji na huna safar yoyote itakulazimu uwadanganye kuwa unasafir na uwepe viambatanisho vyote kama vile unasafir kweli ndo watakupatia..bila ya kuwadandanganya hawakup
Ni lazima niwe na visa ndio nipate passport?Vi
Kwa uelewa wangu ninavyofahamu viza unaipata kutoka ile nchi unayotaka kwenda kupitia ubalozi wa ile nchi ambao upo nchini kwako passport unaipata nchini kwako na ndio inayokusaidia kupata visa
Ya kwenda nchi nyingine
Then am out😂Yeah
Mimi ninakitambulisho cha NIDA but sina Cheti cha kuzaliwa kimepotea then nimepata emergency natakiwa kusafiri kwenda nje ya nchi Je naweza Chukua affidavit (KIAPO CHA KUZALIWA)? Au kwa sisi vijana ni lazima wataomba cheti cha kuzaliwa?
Cheti mbona ukiwa na details zako unarenew tu bob..na sio hela kihvo ukiwa na connection na wahuska hata haicost more than 30000Mimi ninakitambulisho cha NIDA but sina Cheti cha kuzaliwa kimepotea then nimepata emergency natakiwa kusafiri kwenda nje ya nchi Je naweza Chukua affidavit (KIAPO CHA KUZALIWA)? Au kwa sisi vijana ni lazima wataomba cheti cha kuzaliwa?
Kuna mizinguo tofauti tofauti mkuu pale....me sitanii haya!Then am out[emoji23]
shughulikia cheti, ukiona unachelewa fanya affidavitMimi ninakitambulisho cha NIDA but sina Cheti cha kuzaliwa kimepotea then nimepata emergency natakiwa kusafiri kwenda nje ya nchi Je naweza Chukua affidavit (KIAPO CHA KUZALIWA)? Au kwa sisi vijana ni lazima wataomba cheti cha kuzaliwa?
Ilikuaje mkuu,maana nataka nianze process ya ku renew pasi yangu?karibu, kwasasa kuipata pasi ya kusafiria kuna kazi pevu sana, mimi nilikuwa nina renew cha moto nilikiona
masharti mengi mkuuIlikuaje mkuu,maana nataka nianze process ya ku renew pasi yangu?
Ok...then nashukuru kwa taarfa..be blessedKuna mizinguo tofauti tofauti mkuu pale....me sitanii haya!