Taratibu za kupata passport ya kusafiri zipoje?

verses fountain

Senior Member
Sep 30, 2018
155
191
Habari jf members..naomba msaada wenu kwenye process jinsi ya kupata passport na gharama zake mwanzo mwisho mpaka kuipata.. Asanten
 
Mahitaji;
1. Kitambulisho cha taifa
2. Barua ya mwajiri/
3. Leseni ya biashara kama umejiri/kampuni
4. Andika/andikiwa barua ya maombi ukieleza sababu za safari zako/nchi utakazozitembelea
5. Cheti cha kuzaliwa/hati ya kiapo
6. Cheti cha kuzaliwa cha mzazi mmoja/hati ya kiapo
Maombi ya awali yanaanzia kwenye tovuti ya uhamiaji na utalipia 20k
Jumla ya gharama ni 150k
wengine waongezee
 
Mahitaji;
1. Kitambulisho cha taifa
2. Barua ya mwajiri/
3. Leseni ya biashara kama umejiri/kampuni
4. Andika/andikiwa barua ya maombi ukieleza sababu za safari zako/nchi utakazozitembelea

Maombi ya awali yanaanzia kwenye tovuti ya uhamiaji na utalipia 20k
Jumla ya gharama ni 150k
wengine waongezee
Asante mkuu.be blessed
 
Unatakiwa kuingia mtandao wa uhamiaji, www.immigration.go.tz/ppt_application jaza fomu hapo kisha lipia elfu 20 ndio fomu itadownlodika.

Ukipata fomu, chukua cheti chako cha kuzaliwa, cheti cha kuzaliwa cha mmoja wa wazazi au kiapo cha mzazi cha kuzaliwa, kitambulisho cha taifa, barua ya maombi ya pasipoti na mwisho ni uthibitisho wa safar. Kumbuka kuwa pasipoti ni haki ya kila mtu ila vigezo vya kuipata ni viwili tu, uwe raia waa Tanzania na unahitaji kusafiri nje ya nchi, vigezo vinathibitishwa kwa nyaraka ulizotajiwa hapo juu. C&P toka Facebook.com/uhamiajitanzania
 
karibu, kwasasa kuipata pasi ya kusafiria kuna kazi pevu sana, mimi nilikuwa nina renew cha moto nilikiona
Duh pole sana..Mimi ninahitaj lakini sasa nmeona nipate Wenye idea na mchakato mzima. Kurenew ni process zaid kuliko kupata Mpya?
 
Unatakiwa kuingia mtandao wa uhamiaji, www.immigration.go.tz/ppt_application jaza fomu hapo kisha lipia elfu 20 ndio fomu itadownlodika.

Ukipata fomu, chukua cheti chako cha kuzaliwa, cheti cha kuzaliwa cha mmoja wa wazazi au kiapo cha mzazi cha kuzaliwa, kitambulisho cha taifa, barua ya maombi ya pasipoti na mwisho ni uthibitisho wa safar. Kumbuka kuwa pasipoti ni haki ya kila mtu ila vigezo vya kuipata ni viwili tu, uwe raia waa Tanzania na unahitaji kusafiri nje ya nchi, vigezo vinathibitishwa kwa nyaraka ulizotajiwa hapo juu. C&P toka Facebook.com/uhamiajitanzania
Kama sisafiri sistahili kua na passport??
 
Back
Top Bottom