guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,814
- 2,762
utaratibu bado ni ule ule?
Kitambuliaho cha Taifa na cheti cha kuzaliwa. Kama huna hivi vitu usiende
Tusubir wajeNa sisi wenye namba tu bila hard copy ya kitambulisho cha taifa?
Na sisi wenye namba tu bila hard copy ya kitambulisho cha taifa?
Mkuu je Kama Sina vithibitisho vya Safari imekaaje hapo, Mana nataka niwe nayo tuPeleka namba ya Nida inaruhusiwa
Tafuta kampuni ikuandikie kuwa utakuwa na safari ya kikazi njeMkuu je Kama Sina vithibitisho vya Safari imekaaje hapo, Mana nataka niwe nayo tu
Shukran MkuuTafuta kampuni ikuandikie kuwa utakuwa na safari ya kikazi nje
Mhh imeanza lini hii. Mbona wengine barua zilitosha?Shukran Mkuu
Sema tatizo jingine wanataka flight ticket utakayopanda na booking ya hotel, jamaa wamekaba kila Kona[emoji119][emoji51]
Ukienda online application utakuta vigezo Kama vyote mkuu✊🏿🙌😬Mhh imeanza lini hii. Mbona wengine barua zilitosha?
Hauna mtu unaefahamiana nae aliyeko nje ya nchi? Kama yupo mtumie Huyo akuandikie barua ya mualiko,Mkuu je Kama Sina vithibitisho vya Safari imekaaje hapo, Mana nataka niwe nayo tu
Ok , kwani barua ya Mwaliko siwezi iandika Hata nikiwa hapa bongo? Au Hadi aandike yeye mkuu, na Kuna vithibitisho gani Hadi aandike yeye?Hauna mtu unaefahamiana nae aliyeko nje ya nchi? Kama yupo mtumie Huyo akuandikie barua ya mualiko,
Kivipi mkuuHii taasisi imezid rushwa
Huwezi ku-formulate hiyo barua hapahapa Bongo? Wanathibitisha vipi kuwa barua imetoka nje?Hauna mtu unaefahamiana nae aliyeko nje ya nchi? Kama yupo mtumie Huyo akuandikie barua ya mualiko,
Huwezi ku-formulate hiyo barua hapahapa Bongo? Wanathibitisha vipi kuwa barua imetoka nje?
Katika barua ataambatanisha kibali chake cha uraia wa nchi husika ama ukaazi wake ama kibali cha kazi pamoja na anuani yake,Ok , kwani barua ya Mwaliko siwezi iandika Hata nikiwa hapa bongo? Au Hadi aandike yeye mkuu, na Kuna vithibitisho gani Hadi aandike yeye?