Taratibu za kupata passport ya kusafiri zipoje?

Taratibu za kupata passport ya kusafiri zipoje?

Unatakiwa kuingia mtandao wa uhamiaji, www.immigration.go.tz/ppt_application jaza fomu hapo kisha lipia elfu 20 ndio fomu itadownlodika.

Ukipata fomu, chukua cheti chako cha kuzaliwa, cheti cha kuzaliwa cha mmoja wa wazazi au kiapo cha mzazi cha kuzaliwa, kitambulisho cha taifa, barua ya maombi ya pasipoti na mwisho ni uthibitisho wa safar. Kumbuka kuwa pasipoti ni haki ya kila mtu ila vigezo vya kuipata ni viwili tu, uwe raia waa Tanzania na unahitaji kusafiri nje ya nchi, vigezo vinathibitishwa kwa nyaraka ulizotajiwa hapo juu. C&P toka Facebook.com/uhamiajitanzania
Good mzee baba
 
Kupata pasipoti kwa sasa ni rahisi mno,
1. Cha muhimu uwe na
2. Cheti cha kuzaliwa
3. Kitambulisho cha utaifa
4. "Safari"
5. Uthibitisho wa uraia wa mmoja wa wazazi wako.

Maximum inapatikana ndani ya week mbili,

Process zinaanzia online

Total cost ni 150,000.
 
Mahitaji;
1. Kitambulisho cha taifa
2. Barua ya mwajiri/
3. Leseni ya biashara kama umejiri/kampuni
4. Andika/andikiwa barua ya maombi ukieleza sababu za safari zako/nchi utakazozitembelea

Maombi ya awali yanaanzia kwenye tovuti ya uhamiaji na utalipia 20k
Jumla ya gharama ni 150k
wengine waongezee
Daah mambo yamebadilika sana Mimi nilipata kwa tsh elfu 50..sema nilifanya urafiki na jmaa mmoja wa migration mambo yakaenda vizur bila kutoa rushwa. Ndani ya wiki 3 nikawa nimepata..it was back 2014 those days
 
huu ni ukweli, mimi nilienda hadi kwa kamishina lkn alihimiza nipate kitambulisho ndipo nirudi kuomba
Hivyo ndio vigezo vikuu. Hati za wazazi unazipata pale pale kwa wanasheria.
 
ukikosa national id imekula kwako, mimi nilichelewa kupata hiyo id ilibidi niende tra niombe upya na nilijaza form ya uraia ndipo nikapata kitambulisho but nilijiongeza
hapo nilijiongeza ndo napopataka yani bongo bila kujiongeza hovyoo
 
hapo nilijiongeza ndo napopataka yani bongo bila kujiongeza hovyoo
niwe mkweli tu zilinitoka japo najua ni haki yangu lkn niligonga mwamba hadi nilipojiongeza, anayesema hakuna rushwa anajidanganya, awamu hii rushwa ni nzito zaidi ama utoe au ukose huduma.
Huwezi amini niliojiandikisha nao oktoba 2017 hadi leo hawana kitambulisho
 
Daah mambo yamebadilika sana Mimi nilipata kwa tsh elfu 50..sema nilifanya urafiki na jmaa mmoja wa migration mambo yakaenda vizur bila kutoa rushwa. Ndani ya wiki 3 nikawa nimepata..it was back 2014 those days
Hizi za sasa ni zakielectonic. Ziko poa sana. Tatizo ni kule kuzungushwa kama vigezo havijatimia. Unaweza enda na documents zako wakahitaji na kitu kingine. Siku ya kwanza nenda kama kuhakiki je umetimiza masharti
 
niwe mkweli tu zilinitoka japo najua ni haki yangu lkn niligonga mwamba hadi nilipojiongeza, anayesema hakuna rushwa anajidanganya, awamu hii rushwa ni nzito zaidi ama utoe au ukose huduma.
Huwezi amini niliojiandikisha nao oktoba 2017 hadi leo hawana kitambulisho
DUUUH HII AWAMU KILA KITU RUSHWA TENA MTU ANAKAZA KABISA ACHA DIKU NKACHUNGULIR MAZINGIRA YAKOJE LAKIN NATAKA NIPATE I.D YA TAIFA KIMAFEKECHE
 
Kama sisafiri sistahili kua na passport??
Passport ni haki ya kila raia.

ila kwa Tanzania ni lazma uwe na safar ndo wanakupatia iyo passport kama huna safar ni ngumu kupewa kwa sababu kabla ya kupewa huwa kuna mahojiano mafupi kati yko na afisa wa uhamiaji kuhusiana na uhalali safar yako, isije kupewa passport na kwenda kuzamia uko ulaya au bonden kwa madiba..wana waswas kuwa ni nani atakyebaki apa tz kuijenga nchi hii.

Hivyo kama unaihitaji na huna safar yoyote itakulazimu uwadanganye kuwa unasafir na uwepe viambatanisho vyote kama vile unasafir kweli ndo watakupatia..bila ya kuwadandanganya hawakupi!
 
Daah mambo yamebadilika sana Mimi nilipata kwa tsh elfu 50..sema nilifanya urafiki na jmaa mmoja wa migration mambo yakaenda vizur bila kutoa rushwa. Ndani ya wiki 3 nikawa nimepata..it was back 2014 those days
Hahaaha..enzi za mkwere...
We miss you Mkwere...
 
Back
Top Bottom