Tapeli wa Vyeti Feki

Unamuonea wivu tu mwenzako maana anaonekana kijana mdogo alafu unakubali vipi kudanganywa kuwa anafanya kazi baraza tena mzoefu.tatizo kupenda shortcut ya maisha mwishowe mnatapeliwa.
 
JF kuna kipindi inapoteza ubora wake kabisa siamini kama hii habari ina hadhi ya hapa bila uthibitisho hii michezo ya kuchafua ipo sana kwenye mitando ambayo haina mipaka mfano IG,kama hakuna uthibitisho ni bora hii thread ikaondolewa.
isije ikawa ndo mishe zako mzee so unahis kitumbua kinaingia mchanga hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasisitiza upeo wako ni mdogo, najua na-argue na dogo wa kwenye early 20s. Dogo narudia utaolewa hujui ulichoandika kina madhara gani kwako. Fungua akili, waza kabla hujaandika kitu JF. Hii siyo Facebook wala Instagram mliyoizoea
kama alivyoolewa babako ukazaliwa ww.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa hapa kitaani kwetu hatuko sawa tunazinguana daily na picha yake ninayo pia namba ya simu ninayo nikija hapa nikaleta bandiko kama lako nikaweka picha,namba ya simu,jina na details zote kua ni jambazi wa kutisha utadhani itahalalisha ukweli wa bandiko langu,acha mihemko picha haiwezi kutuaminisha uyasemayo ndio maana tunawaza kwa mapana labda mnagombea vicheche uko mnaleta chuki zenu JF.
unadhan wote tuna akili kama zako?...kama haikuhusu pita bro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wangu?Muoga?Atanibaka?
Acha nicheke tu mpwa maana hapa hatuwezi kuelewana ila kwa msaada mabandiko kama haya hapa JF yanachuliwa kama umbea tu jaribu tu kuchunguza michango ya watu wengine utagundua hapa sio mahali sahihi ingekua kule IG wangekuelewa na kumbuka uku tumejificha kwenye ID fake ivyo ili tukuamini lazima uje nondo jifunze pia uku sio Facebook au IG wewe chukulia poa na mboyoyo kibao kikigeuka uku utajuta kuleta bandiko lako.
Kaa umo mpwa labda utanielewa duh..!
kaza kutetea bro, mjini hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada ni muhanga
Alfu inaonekana jamaa ndyo alikutengenezea llo li cheti lako feki
 
Huyo jamaa anapatikana kwa namba 0713160073 Kaisajili kwa jina la ROBERT RISASI.

Huyu jamaa huwa anajinasibu kwamba yeye ni mfanyakazi wa Baraza la Mitihani hivyo anaweza kutengeneza vyeti orijino au kubadilisha matokeo kwenye mashine za baraza la mitihani.

Huyu jamaa siyo wa kuachiwa.
Anapatikana WAP!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa anapatikana kwa namba 0713160073 Kaisajili kwa jina la ROBERT RISASI.

Huyu jamaa huwa anajinasibu kwamba yeye ni mfanyakazi wa Baraza la Mitihani hivyo anaweza kutengeneza vyeti orijino au kubadilisha matokeo kwenye mashine za baraza la mitihani.

Huyu jamaa siyo wa kuachiwa.
Mpaka sasa bado yupo????
 
Acha kupayuka hovyo utatolewa roho ukiwa unaona

Kama una ushahidi nenda karipoti polisi kisha uone kama hao polisi hawajakuuza utolewe roho ukiwa unaona.

Vyeti feki ni janga ktk uongozi wa hii nchi kuanzia kwa Rais mpaka kwa balozi wa nyumba kumi10.

Watch it
 
Back
Top Bottom