Tapeli wa Vyeti Feki

Tapeli wa Vyeti Feki

Unaropoka vitu huvijuiiii unapayuka unaropoka hujielewi babako aliolewa hivyo so unadhan kila mmoja atakuwa hivyo... Mtoto mdogo nan?
Nasisitiza upeo wako ni mdogo, najua na-argue na dogo wa kwenye early 20s. Dogo narudia utaolewa hujui ulichoandika kina madhara gani kwako. Fungua akili, waza kabla hujaandika kitu JF. Hii siyo Facebook wala Instagram mliyoizoea
 
Unadhan mpaka imewekwa picha yake na namba ya simu huelew nn sasa chukua hatua uhakikishe kama tulivyofanya wengine sio kutetea kipuuz
Kuna jamaa hapa kitaani kwetu hatuko sawa tunazinguana daily na picha yake ninayo pia namba ya simu ninayo nikija hapa nikaleta bandiko kama lako nikaweka picha,namba ya simu,jina na details zote kua ni jambazi wa kutisha utadhani itahalalisha ukweli wa bandiko langu,acha mihemko picha haiwezi kutuaminisha uyasemayo ndio maana tunawaza kwa mapana labda mnagombea vicheche uko mnaleta chuki zenu JF.
 
Unanchukuliaje Mwana me siyo mpuuz mwenzako nmeweka hapa kuwaepusha nae naona unahemkaaaa sikuelew wala nn Mzee we kama muoga huyo jambaz atakubaka ww na Mungu wako mm ndo nshabandika
 
Kuna Demu aliweka Namba ya Boyfriend wake kwenye bango akalibandika na kuandika Mganga kutoka Nigeria.... yaani kumletea mtu kero tu... Mleta uzi bora uweke ushauri maana hata kama mapolisi wakisoma hawawezi kumkamata na kumhoji kwani hakuna aliyeshitaki... hata vibaka na wezi huachiwa na polisi maana walioibiwa huwa hawafuatilii kesi.. so hili Tangazo lako bila kumshitaki ni sawa na kumtangazia biashara jamaa kwani Wateja wa Vyeti ni Wengi sana maana Elimu ya Bongo ni Majanga ina misingi mibovu... Mambo ya Kununua Vyeti ni Biashara ya Kimataifa Mbona... Itafika kipindi wataalamu wa kufoji foji huwa ni watu wenye akili sana wanatakiwa kutunzwa na kupewa assignment ngumu ngumu kama Marekani wale wanaotengeneza Virus ndio wanaajiliwa na idara za kijasusi.... Bingo.....
 
Unanchukuliaje Mwana me siyo mpuuz mwenzako nmeweka hapa kuwaepusha nae naona unahemkaaaa sikuelew wala nn Mzee we kama muoga huyo jambaz atakubaka ww na Mungu wako mm ndo nshabandika
Mungu wangu?Muoga?Atanibaka?
Acha nicheke tu mpwa maana hapa hatuwezi kuelewana ila kwa msaada mabandiko kama haya hapa JF yanachuliwa kama umbea tu jaribu tu kuchunguza michango ya watu wengine utagundua hapa sio mahali sahihi ingekua kule IG wangekuelewa na kumbuka uku tumejificha kwenye ID fake ivyo ili tukuamini lazima uje nondo jifunze pia uku sio Facebook au IG wewe chukulia poa na mboyoyo kibao kikigeuka uku utajuta kuleta bandiko lako.
Kaa umo mpwa labda utanielewa duh..!
 
Acha wafu wazikane huwezi kwenda kumuona daktari kama huna tatizo
 
Huyo jamaa anapatikana kwa namba 0713160073 Kaisajili kwa jina la ROBERT RISASI.

Huyu jamaa huwa anajinasibu kwamba yeye ni mfanyakazi wa Baraza la Mitihani hivyo anaweza kutengeneza vyeti orijino au kubadilisha matokeo kwenye mashine za baraza la mitihani.

Huyu jamaa siyo wa kuachiwa.
Sioni ushahidi wa unachokisema, weka ushahidi tukuamini vinginevyo we ni mzushi tu
 
Umeamua kutoelewa nkufanyaje?..hiv nan mwendawazimu aweke picha had namba na jina la tigo pesa
 
Damn!! Matapel Wote Niliowahi Kuwaona Wakitangazwa Humu, Wanaonekana Ni "Wakuja" Sijui Inakuaje??? Anyway, Siwez Bisha Nisilolijua!!!
 
Back
Top Bottom