Tapeli wa Vyeti Feki

playboy babu

JF-Expert Member
Nov 12, 2015
2,648
1,566
Huyo jamaa anapatikana kwa namba 0713160073 Kaisajili kwa jina la ROBERT RISASI.

Huyu jamaa huwa anajinasibu kwamba yeye ni mfanyakazi wa Baraza la Mitihani hivyo anaweza kutengeneza vyeti orijino au kubadilisha matokeo kwenye mashine za baraza la mitihani.

Huyu jamaa siyo wa kuachiwa.
 

Attachments

  • 1456953604912.jpg
    1456953604912.jpg
    39.1 KB · Views: 98
Huyo jamaa anapatikana kwa namba 0713160073 Kaisajili kwa jina la ROBERT RISASI.

Huyu jamaa huwa anajinasibu kwamba yeye ni mfanyakazi wa Baraza la Mitihani hivyo anaweza kutengeneza vyeti orijino au kubadilisha matokeo kwenye mashine za baraza la mitihani.

Huyu jamaa siyo wa kuachiwa.
Ww ni jipu ulilo iva unatakiwa utumbuliwe ulimjuaje huyo mtu na nahis una vyet feck
 
mtuhumiwa huwez kumreport kama mtuhumiwa pasipo kwenda polisi vinginevyo huyo unayemuita mtuhumiwa atakushtaki kwa kosa la kudhalilisha kuwa tapeli..nijuavyo hawa jamaa ni wasiri sana huwezi kuwajua kama hujafanya nao kazi. dogo kama umemtumia pesa afu kashindwa kukutengenezea chet dont panic but remember there iz no power in panic
 
JF watoto wadogo wengi siku hizi. Dogo unajua madhara ya kum-accuse mtu? Na by the way, umejuaje kama na wewe hujashiriki hiyo jinai ya kufanya forgery kwa namna moja au nyingine? Utakuja kuolewa bila kelele wala vikao vya kamati.
Unaropoka vitu huvijuiiii unapayuka unaropoka hujielewi babako aliolewa hivyo so unadhan kila mmoja atakuwa hivyo... Mtoto mdogo nan?
 
JF kuna kipindi inapoteza ubora wake kabisa siamini kama hii habari ina hadhi ya hapa bila uthibitisho hii michezo ya kuchafua ipo sana kwenye mitando ambayo haina mipaka mfano IG,kama hakuna uthibitisho ni bora hii thread ikaondolewa.
Unadhan mpaka imewekwa picha yake na namba ya simu huelew nn sasa chukua hatua uhakikishe kama tulivyofanya wengine sio kutetea kipuuz
 
Back
Top Bottom