Kiresua
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 1,184
- 259
Wana JF katika kijiwe cha Biashara na Ujasiriamali, kwa masikitiko makubwa napenda kuwafahamisha juu ya msiba wa mama Mdogo wa mpendwa wetu Mwana JF na wanaSACCOS Caroline Danzi kilichotokea leo alasiri Jijini Dsm.
Kwa niaba ya wana SACCOS (ingawa mm sio Mwenyekiti) napenda kumtakia amani na utulivu mkuu katika kipindi hiki cha msiba. Uwe na Moyo Mkuu ukitambua kuwa kazi ya Mungu haina Makosa hata kidogo. Uwe na Uhakika kuwa mawazo yetu yako pamoja nanyi wanafamilia katika kipindi hiki cha msiba.
Kwa wale walioko dar, wanaweza kumtambelea pale panapowezekana
Mwenyezi Mungu ametoa Mwenyezi Mungu Ametwaa, Jina la Bwana Libarikiwe