Vijana wa Chadema wanamalizwa na UKIMWI angali wadogo
Sawa ,,WEWE N NANII UMTAMBUE SIO KILA.MAREHEMU MNAITAJII KUVAMIA MISOSI.....KAMA HUMJUII KAAAÀ KKIMYA MPPAKA MESIAH ANAPOKUJAAA MSIJIABISHE
Baada ya uzi kujaziwa nyama naona umerudi kwa comment nyingine amazingZings la good looking, pimzika kwa amani wakili Shukuru.
Ila bado hapo laki 4 ambao ni member na ukiongeza wanaotembelea JF lakini sio member bado ujumbe unaopatikana JF kama ni wa kuleta mabadiliko kwa wananchi utasambaa kwa kasi kumbuka hao watu 50 millioni kuna watoto ambao hawajui kinachoendelea duniani zaidi ya kusubiri kushushiwa hivyo huo watu laki 4 ukiongeza wale wanaopata ujumbe wa JF kupitia instagramu, twita na fasibuku achilia mbali wale wazee wa kuambiwa si haba coverage inakuwa kubwa sanaJf ina member takribani laki nne..nchi nzima tupo around 50million.
Kwa upande wangu naona jf haifahamiki sana kama humu ndani tunavyojidanganya
Anahusiano gani na JF, je ni member!! Maana kama ni kufa kila dakika anaondoka mtu au watu kwenda "kusikojulikana" na kutuachia mwili tuuzike!
Habari yako dada??Si wote tunaomfahamu marehemu, ongeza nyama kidogo kwenye taarifa yako.
Nzuri kakaHabari yako dada??
You're one of 10 JF members I wish I could meet face to face. Nimeku-tag somewhere in one of my threads just nowNzuri kaka
😂😂😂😂Alikuwa chama gani