TANZIA: Wakili Shukuru Mlwafu afariki dunia. Alikuwa Mkufunzi UDOM

Jf ina member takribani laki nne..nchi nzima tupo around 50million.
Kwa upande wangu naona jf haifahamiki sana kama humu ndani tunavyojidanganya
Ila bado hapo laki 4 ambao ni member na ukiongeza wanaotembelea JF lakini sio member bado ujumbe unaopatikana JF kama ni wa kuleta mabadiliko kwa wananchi utasambaa kwa kasi kumbuka hao watu 50 millioni kuna watoto ambao hawajui kinachoendelea duniani zaidi ya kusubiri kushushiwa hivyo huo watu laki 4 ukiongeza wale wanaopata ujumbe wa JF kupitia instagramu, twita na fasibuku achilia mbali wale wazee wa kuambiwa si haba coverage inakuwa kubwa sana
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom