TANZIA: Wakili Shukuru Mlwafu afariki dunia. Alikuwa Mkufunzi UDOM

Si wote tunaomfahamu marehemu, ongeza nyama kidogo kwenye taarifa yako.
Kama humfahamu, humfahamu tu! Hata akielezaje huwezi kumfahamu eti kutokana na maelezo; picha alizotoa mtoa taarifa zinatosha kwa wale waliokuwa wanamfahamu. Tumshukuru mtoa taarifa kwa kutuhabarisha juu ya msiba huu. Mungu ailaze roho ya marehemu pale anapoona panafaa. Amina.
 
Alikuwa chama gani
Alikuwa wakili wa mahakama kuu ya TZ. Ametumiwa sana na watu wa CDM kwenye mihemko yao ya kesi mahakamani dhidi ya sheria za nchi. Alikuwa mhadhiri wa sheria pale UDOM. Aliwahi kufungua kesi kupinga sheria ya cyber crime pamoja na sheria ya wanufaika wa mkopo wa elimu ya juu kukatwa 15% ya mshahara ili kurejesha mkopo. Hakuwahi kushinda hizo kesi zote.
 
una tatizo la Wivu..mwanaume mzima!
 
But good try
 
Alikua ni mmoja wa wapiganiaa haki na uhuru kwa jamii! Apumzike mahali pema.
Tunashukuru kwa mcho.wake hasa kupinga sheria ya cyber crime na 15%ya HELSB kwa wanufaika wa mkopo
 
Namkumbuka huyu jamaa aligombea uraisi wa Daruso na bwana mmoja Simon Kilawa (kama sijakosea) aliyeperusha bendela hio. Anyway R.I.P Shukuru. Ila huu ugonjwa unakuja kwa kasi sijui kwa nn
Mkuu hizo hisia zako au zilishavuja kitambo?
 
Pole sana ndugu na jamaa wa marehemu na wana JF wote kwa kumpoteza mtu muhimu sana katika taifa hili; sote tu wageni katika dunia hii, ipo siku tutaiaga. May God rest his soul in eternal peace. Amen.
 
Sidhani kama taarifa iliqualify hii attention ,mm simjui wala sijawahi msikia ,lakini inaonesha ni maarufu kwa mwenye jf yao.siku atafariki mwenye nyumba ilipopanga jf mtaleta humu nauhakika member wengi ndo tumemsikia Leo,anyway poleni kwa kumpoteza rafiki
 
Back
Top Bottom