Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Hata mtukane mpaka mjipake usoni matusi bado Ustadh Ilunga ni shujaa kwa kusema ukweli dhidi ya udhalim.najua mnamchukia kwa ukweli wake lakini wanasema ni bora mchungu mkweli kuliko uongo wenye kuangamiza.na kila nafsi itaonja umauti.ni upumbavu na kukosa maarifa kwa matusi mnayoyatoa kwani hayasikii walaa kuyaona tena na kila mmoja wetu atakufa hakuna cha padri wala shetani woote tutakufa hakuna wa kupiga magoti wala wakupiga kwaya atakae bakia woote tutakufa sijui cha ajabu ni kipi.yeye kishamaliza muda wake kazi kwako na kama ukitaka kujua uliza alizikwa na kina nani??? Na hao waliomzika ndio wafuasi wake sasa wewe piga hesabu zako za kuishi lakini hujui utakufaje na utazikwaje think twice

Dini ya kishetani imekufanya kuwa na mawazo mgando, huyu jamaa alikuwa anahamasisha watu kuuwa sasa yeye kama kuona kuuwa mtu ni ufahari mbona yeye hakuishi milele. Waislam mtambue thamani ya uhai wa mwanadamu na kwamba ukichezewa lazima Mungu akuadabishe
 
Kaka na wewe? wewe c ndiye uliponea chupi chupi kukunaniliu kwa kupeleka azam sembe china? kumbe mnakolabo na mapadri? vipi kwny list ya mshua ulikosa kweli!
Rudi facebook hapa siyo saizi yako.
 
Nyie Kwenu mtu mwenye chuki na dini zingine ndio mnamuona shujaa. Mungu wenu kajaa chuki hadi kwenye kisigino. Sasa kwa kuwa katimiza matakwa ya ALLAH, zawadi yake hii hapa,tayari aanze shughuli, hakuna kupumzika kama ulivyosema, chini ya aya hizi Al-Quran 44:54,Quaran 78:33, hadith 2687

View attachment 156019

Hiyo picha uliyoweka hata baba yako alikuwa anamcheki mother yako Ndio ukapatikana wewe mbona hilo ni suala la kawaida.

Yakobo aligonga ngoma nne halafu wengine walikuwa wafanyakazi (mabeki tatu) chezea Yakobo weye, we endelea kubaki kuwa fundi saa unatazama kwa jicho moja.
 
Kahtaan ukinipa hivi vifungu kwenye Bible mimi nasilimu sasa hivi, bora na mimi niwe muabudu na majini. Lete hiyo

Utawezaje kusilimu hali ya kua bado una GOVI,Kaondoe mkono wa sueta kwanza Kakende
 
ADAM, HAWA, YESU si binadamu wa kawaida kwa kuwa wazazi wao hawajulikani

We mbulula wapi.nimeongelea hao?

Nakuuliza wewe WAANDISHI WA BIBLIA.
MARK.
MATHEW
LUKE and
JOHN
Hao hapo juu KAMA SIO WATOTO WA HARAMU WALIOZALIWA MITAANI ,BABA ZAO NI KINA NANI??

We unafuata kitabu Kilichoandikwa na wanaharamu??

Ndio maana always husema UKITAKA KUWA MGALATIA BASI LZM UWE AKILI KUAMBIWA TU!
 
Ungekuwa unasoma BIBLE usingekuwa unaswali na JINI likiwa linakuchungulia matakakoni wakati wa kuinama ukiwa unaswali

uzembe wa kufikiri

ushawahi kuona msikitini watu wanapiga mayowe wamepandisha majini au umewahi kuona wanaanguka hovyo na kugalagala?

Mimi mpaka sasa sijamuona mtu aliewahi kuenda msikitini kutoa hayo mapepo wanayodai.wengi wao wanaongelea wakiwa juu ya mti.
Si mshuke msikitini mkayatoe tuone.
 
we kakende tulia umeze dawa sawa ee........Kahtaan mfundishe huyu mgalatia mpaka aelewe...
 
Niko msibani hapa Mbezi Goigi ambako mwili wa marehemu Ustadh Ilunga Hassan Kapungu umelala. Kitu kizuri ni kuwa hakuna alietetereka kwa msiba huu kwani kila mmoja wetu anajua kila nafsi itaonja mauti na huu ni muda wa Ustadh Ilunga. Kizuri kingine ni kuwa amefariki kwa ugonjwa ambao ulimuanza zaidi ya miaka kumi na tani iliyopita, kabla hata ya umaarufu wake, kabla hata ya propaganda zidi yake kuenezwa. Watu wamehamasika kwa kazi yake aliyoifanya hapa dunia na wako tayari kuiendeleza. Ustadh Ilunga amefariki na atazikwa leo saa kumi jioni lakini kazi yake katika uislamu itadumu milele.

Ndugu fafanua kazi IPI kwa mfano Watu wamehasika kuindeleza? Kumbuka alikuwa anatafutwa na Polisi kutokana na kazi sake.
 
Dini ya kishetani imekufanya kuwa na mawazo mgando, huyu jamaa alikuwa anahamasisha watu kuuwa sasa yeye kama kuona kuuwa mtu ni ufahari mbona yeye hakuishi milele. Waislam mtambue thamani ya uhai wa mwanadamu na kwamba ukichezewa lazima Mungu akuadabishe

Shetani ni wewe ambae unaeona Duniani ndo umefika utadhani hutokufa sasa ishi milele kwa uhai wa mkate
 
Ndugu fafanua kazi IPI kwa mfano Watu wamehasika kuindeleza? Kumbuka alikuwa anatafutwa na Polisi kutokana na kazi sake.

kwanza katufunulia kuhusu mfumo kristo na tushajua mbinu zenu ndo mana mapadri yote yalitaka akamatwe.
 
Tatizo lako we Kakende a.k.a kapumbu ni kuwa unachanganya madawa kila siku.
Hukushangaa kwa maria kuwa mjamzito akiwa na umri wa miaka 11 na wakati huo huo kaolewa na jizee la miaka 90! Liitwalo Joseph!
We unashangaa binti kuolewa!?

Ninaposema "MCHEZO WA KUNAJISI WATOTO KWENU NYINYI NI KAMA KUNYWA CHAI" Maana yangu ni kama mifano HAI ifuatayo.

Sasa gonga link yyt hapa chini UONE MAPADRI NA WACHUNGAJI WANAVYO WALAWITI WATOTO WENU!

Alleged victim targets accused pedophile priest 30 years later

How long must the children suffer pedophelia abuse by Catholic and Protestant church? - Jackson atheism | Examiner.com

Priest abuse scandal full coverage - latimes.com

Deceased Dutch Catholic bishop was child molester - commission

Na wewe ambae SIJAKUONA HATTA SIKU MOJA UKIKEMEA VITENDO HIVI lazima utakuwa mmoja wa Hao wachungaji wanao wafanyia watoto wadogo vitendo hivyo vya kinyama!

Siku yesu akirudi itabidi aje na ile mashine ya kuoshea Magari!

Manake hayo makanisa ni vinyesi kila kona vya wanakondoo!
Embu weka andiko linaloonyesha maria alikuwa na miaka11 na Joseph 90..
 
Last edited by a moderator:
Nimekutachi kaka nakushangaa unavokuwa jasiri kuzungumzia sembe, tuliambiwa ulikamatwa na sembe china na hujawahi kana popote.
Kijana naona unatafuta bashaa kwa nguvu.
 
Hata kama Maiti hasemwi kwa mabaya wala sina la kumsifia mtu kama Sheikh Ilunga hata kama nami ni mwislamu. Ni Sheikh gani unahamasiha watu wachinje mapadri na maaskofu huku ukitumia maandiko ya Kuran kwa kupotosha?!!! Ni heri nionekane kafiri kuliko kumtetea sheikh anaeshadidia mauaji yasiyo na kichwa wala miguu.

Heshima kwako mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom