Voli kitoki
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 365
- 92
matusi ya nini kijana, tuliza munkari!
boko haramu ndivyo walivyo mkuu
matusi ya nini kijana, tuliza munkari!
Haya ndii matatizo ya kukaa kwenye vikao vya shehena jongo!
We inaonekana ililia sana wakati nyerere kafa!
Lahaula walaquwata!
Sina cha kujipendekeza kwao kwavile hawana cha kunipa lakini haitatokea hata siku moja ktk maisha yangu nikatetea watu kama Sheikh Ilunga, Al Shabab, Boko Haram na wengine kama hao! Kama adhabu yangu itakuwa ni kutupwa motoni, am ready to take the chance kuliko kutetea ujinga!!Acha kujipendekeza kwa makafiri, hapa Uislam unatukanwa kama wewe Muislam umefanya nini zaidi ya kumponda Ilunga, Mtume wako anatukanwa wala hauoni tatizo, nyie ndiyo ni Jongo mnaomlilia Nyerere.
kahtaan huwa nakushangaa, unaposema habari za kubaka watoto kwa maana nyingine unakuwa unamdharirisha mtume wetu sisi, hao wananabaka ni kwa utashi wao wala hawajaambiwa. Ebu soma hapa uone mtume wetu alimfanya nini mtoto muslim (8:3309) , bukhari 58:234.
Lakini pia soma hapa uone alimfanya nini mke wa mwanae wa kulea sura 33:37
kuhusu pombe, hapa pia mtume wetu anawaagiza watu wanywe pombe (surah 4:43)
kuhusu kubaka watoto. Soma hizi link mashekhe wamefanya nini au kwa kuwa hawatangazwi? Soma hii
LOOK UNDER THE BURKA OF ISLAM: IMAM ARRESTED FOR DRUGGING AND RAPING TEN YEAR OLD GIRL (AFGHANISTAN)
Saudi imam rapes, tortures 5-yr-old daughter because he 'doubted her virginity' - Wilmington Conservative | Examiner.com
Imam rapes 12-year-old, tries to intimidate girl | Siasat
boko haramu ndivyo walivyo mkuu
Pole mfiwa.. tumeondokewa na mtu makini hasa katika vita hii ya mfumo kristo.. kwanini Nyerere aitwe baba wa taifa lakini wazee wetu wa gerezani hawaitwi baba wa taifa..!
Wewe ndo utoe hiyo aya ya Kuran inayosema akiuawa Mwislamu mmoja, wauawe mapadri wanne.... narudia, weka hiyo aya hapa... hata kama haisemi moja kwa moja hivyo, basi angalau inayofanana fanana manake, kwa mujibu wa Uislamu, ingawaje adhabu ya muuaji ni kuaawa, bado kuna taratibu zake za kufuata! Sasa Ilunga anaposema ua mapadri wanne ametumia taratibu zipi?
Nimemsikia pia kupitia BBC kasema katumwa na mungu..Nimesikia kwenye taarifa mkuu wa bokoharam kapanga kuwauza sokoni wale mabinti mateka...
Sina cha kujipendekeza kwao kwavile hawana cha kunipa lakini haitatokea hata siku moja ktk maisha yangu nikatetea watu kama Sheikh Ilunga, Al Shabab, Boko Haram na wengine kama hao! Kama adhabu yangu itakuwa ni kutupwa motoni, am ready to take the chance kuliko kutetea ujinga!!
Kwamba Uislamu unatukanwa mimi nafanya nini; labda nikuulize ulitarajia nifanye nini... kwahiyo ulitaka nami nifunge kibwebwe nianze kutukana Ukristo ili kuwaaminishia nyinyi kwamba nami ni Mwislamu safi... unafiki si ada yangu! Humu jamvini si mara moja wala mara mbili, nimeshapata hadi kuhitilafiana na watu wanaokashifu Uislamu, lakini naangalia mazingira! Haiwezekani mimi niwatetee wauaji kwa jina la Uislamu kisha mtu autukane Uislamu halafu mimi nije juu... na ndio maana hata kwenye Koran imesemwa wazi, usiwatukanie dini yao wasije wakaitukana dini yako. Lakini yote kwa yote, wakati unaamini kwamba najipendeza kwa hao unaowaita makafiri, jaribu kwanza kuisoma Signature yangu ndipo utabaini NasDaz ni mtu wa aina gani!
Yashakuwa ya Nyerere tena?! IKiwa unataka kufahamu maoni yangu kuhusu Nyerere, humu jamvini nilishapata kuongea... simkubali Nyerere lakini simkubali si kwa sababu ya Ukristo wake bali kutokana na vile ambavyo alitawala... kimsingi, nilizungumzia utawala wa Nyerere ambae nilimweka kwenye kundi la viongozi wabovu kabisa kupata kutokea hapa Tanzania huku nikimweka mizani moja na Ally Hassan Mwinyi; Mwislamu mwenzangu!!!Haya ndii matatizo ya kukaa kwenye vikao vya shehena jongo!
We inaonekana ililia sana wakati nyerere kafa! Lahaula walaquwata!
Sina cha kujipendekeza kwao kwavile hawana cha kunipa lakini haitatokea hata siku moja ktk maisha yangu nikatetea watu kama Sheikh Ilunga, Al Shabab, Boko Haram na wengine kama hao! Kama adhabu yangu itakuwa ni kutupwa motoni, am ready to take the chance kuliko kutetea ujinga!!
Kwamba Uislamu unatukanwa mimi nafanya nini; labda nikuulize ulitarajia nifanye nini... kwahiyo ulitaka nami nifunge kibwebwe nianze kutukana Ukristo ili kuwaaminishia nyinyi kwamba nami ni Mwislamu safi... unafiki si ada yangu! Humu jamvini si mara moja wala mara mbili, nimeshapata hadi kuhitilafiana na watu wanaokashifu Uislamu, lakini naangalia mazingira! Haiwezekani mimi niwatetee wauaji kwa jina la Uislamu kisha mtu autukane Uislamu halafu mimi nije juu... na ndio maana hata kwenye Koran imesemwa wazi, usiwatukanie dini yao wasije wakaitukana dini yako. Lakini yote kwa yote, wakati unaamini kwamba najipendeza kwa hao unaowaita makafiri, jaribu kwanza kuisoma Signature yangu ndipo utabaini NasDaz ni mtu wa aina gani!
Nimemsikia pia kupitia BBC kasema katumwa na mungu..
Yashakuwa ya Nyerere tena?! IKiwa unataka kufahamu maoni yangu kuhusu Nyerere, humu jamvini nilishapata kuongea... simkubali Nyerere lakini simkubali si kwa sababu ya Ukristo wake bali kutokana na vile ambavyo alitawala... kimsingi, nilizungumzia utawala wa Nyerere ambae nilimweka kwenye kundi la viongozi wabovu kabisa kupata kutokea hapa Tanzania huku nikimweka mizani moja na Ally Hassan Mwinyi; Mwislamu mwenzangu!!!
Sina cha kujipendekeza kwao kwavile hawana cha kunipa lakini haitatokea hata siku moja ktk maisha yangu nikatetea watu kama Sheikh Ilunga, Al Shabab, Boko Haram na wengine kama hao! Kama adhabu yangu itakuwa ni kutupwa motoni, am ready to take the chance kuliko kutetea ujinga!!
Kwamba Uislamu unatukanwa mimi nafanya nini; labda nikuulize ulitarajia nifanye nini... kwahiyo ulitaka nami nifunge kibwebwe nianze kutukana Ukristo ili kuwaaminishia nyinyi kwamba nami ni Mwislamu safi... unafiki si ada yangu! Humu jamvini si mara moja wala mara mbili, nimeshapata hadi kuhitilafiana na watu wanaokashifu Uislamu, lakini naangalia mazingira! Haiwezekani mimi niwatetee wauaji kwa jina la Uislamu kisha mtu autukane Uislamu halafu mimi nije juu... na ndio maana hata kwenye Koran imesemwa wazi, usiwatukanie dini yao wasije wakaitukana dini yako. Lakini yote kwa yote, wakati unaamini kwamba najipendeza kwa hao unaowaita makafiri, jaribu kwanza kuisoma Signature yangu ndipo utabaini NasDaz ni mtu wa aina gani!
Wala usisumbuke kunihifadhi... we sema tu ili kila mmoja afahamu kwa maana mwenye kutoa hukumu ya haki kuhusu NasDaz ni mtu wa namna gani ni Mungu peke yake. Narudia, ni Mungu peke yake kv yeye ndie anaefahamu matendo ya nafsi yangu!! Naweza kusimama hapa na kumtetea kwa nguvu zote Sheikh ILunga huku nikitaka nionekane napigani dini kwelikweli... lakini siku ya siku ni Mungu peke yake atakayefahamu ikiwa ninachokipigani ndicho true reflection of my heart!Wewe ni mfano wa wale wanaoitwa "AD DAYYUS"!
Sasa mimi sitaki kuwapa faida MAKAFIRI! we katafute maana ya Dayus utafahamu nina maana gani!
Nakuskitikia sana! Angalia tu ndugu yangu usunyweshwa yale madamu ya kakobe! Hao wagalatia wachawi sana!
Whaaat! Katumwa na MUNGU? Au kasema katumwa na ALLAH? usichanganye mkuu ALLAH siyo MUNGU.
Wewe ni mfano wa wale wanaoitwa "AD DAYYUS"!
Sasa mimi sitaki kuwapa faida MAKAFIRI! we katafute maana ya Dayus utafahamu nina maana gani!
Nakuskitikia sana! Angalia tu ndugu yangu usunyweshwa yale madamu ya kakobe! Hao wagalatia wachawi sana!
kahtaan sijui kama ataweza kukuelewa kumchanganya maalim Mwinyi na Kafiri nyerere(aliyempatia uhuru) kwenye chungu kimoja!
Sina cha kujipendekeza kwao kwavile hawana cha kunipa lakini haitatokea hata siku moja ktk maisha yangu nikatetea watu kama Sheikh Ilunga, Al Shabab, Boko Haram na wengine kama hao! Kama adhabu yangu itakuwa ni kutupwa motoni, am ready to take the chance kuliko kutetea ujinga!!
Kwamba Uislamu unatukanwa mimi nafanya nini; labda nikuulize ulitarajia nifanye nini... kwahiyo ulitaka nami nifunge kibwebwe nianze kutukana Ukristo ili kuwaaminishia nyinyi kwamba nami ni Mwislamu safi... unafiki si ada yangu! Humu jamvini si mara moja wala mara mbili, nimeshapata hadi kuhitilafiana na watu wanaokashifu Uislamu, lakini naangalia mazingira! Haiwezekani mimi niwatetee wauaji kwa jina la Uislamu kisha mtu autukane Uislamu halafu mimi nije juu... na ndio maana hata kwenye Koran imesemwa wazi, usiwatukanie dini yao wasije wakaitukana dini yako. Lakini yote kwa yote, wakati unaamini kwamba najipendeza kwa hao unaowaita makafiri, jaribu kwanza kuisoma Signature yangu ndipo utabaini NasDaz ni mtu wa aina gani![/QUOTE
Dayus.