Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Status
Not open for further replies.
wewe ni kafiri Kama kafiri mwenzako alien mlilia nyerinyeri bungeni. unajipendekeza kwa makufaar ili wakuone mwema, ALLAH akuonyeshe hakika na akuwezeshe kuifuata la sivyo una mafikio mabaya akhera.

ALLAH Subhana wataala anasema "HAWATOKUWA RADHI MAKAFIRI NA MANASWARA MPAKA TUFUATE MILA ZAO"

Ukiona makafiri wanakupenda, jichunguze vizuri mwenendo wako Kama haujaiacha haqqi aliyo ishusha ALLAH subhana wa subhana
Anione mwema nani...? Mie humu jamvini ni mtu mwenye mawazo huru... hata hao Wakristo nabishana nao sana humu lakini ni kwa mambo ya msingi kwa dini na sio upuuzi kama wa kumtetea Sheikh Ilunga.
 
Asante Jehova kwa kuwa wewe ndiye Mungu wangu. Asante kwa kuniumba. Ningeumbwa na Allah bila shaka na mimi ningekuwa sawa na kina anti Moody, anti Ally na wale maanti wengi wanaojianika Lango la Jiji na Travatain

Ameen.
 
LUCIFIER na wafuasi wake hawahitaji aya! Manake aya anapewa mtu msafi na sio wale waliojaa najisi!

Pata habari hapa kuhusu hio ndoa ya mama wa mungu wako aliokuawa mjamzito akiwa na umri wa miaka 12 na UJAUZITO WA MIEZI 10!
Na mume wa MIAKA TISINI!

CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: St. Joseph

Weka evidence za bible kama mimi ninavyoonesha mtume wetu kuruhusiwa kufanya ngono bila ukomo Sura 33:50
 
Lete aya inayosema Joseph alikuwa na miaka 90, pia Maryam alikuwa na miaka 12, pia lete aya inayotetea mashoga.

To those claiming Joseph was a 90 year old 'craddle-robber' who married a 12/14 Year old Teenage Mary, kindly see how "intelligent, full of logic, and incredible reasoning" you truly are.

If Joseph was 90 and Mary was 12, then Joseph would be something 92 years when Jesus was born, right?

Now, Its a known fact that King Herod was after the new born baby for which reason he (Jesus) was taken to Egypt. In essence, a 92/93 year old Joseph was cris-crossing the middle east, running for dear life with a teenage bride and an infant? Let's agree that was Adrenaline in action. I'll still take that with a pinch of salt.

Now, when Jesus clocked 12, he was taken to the temple for dedication. Joseph, Mary and Jesus traveled from Nazareth to Jerusalem for this purpose; we're talking several kilometers here.
By this time, Joseph would have been at least 104/105 years old. So are your sources trying to suggest with the foregoing logic that; a 104 Joseph trekked all the way to Jerusalem for the dedication of his 12 year old Jesus?

Furthermore, Joseph mentored Jesus to become a carpenter. At what age did this mentoring start?
Let's assume it was even when Jesus was 12 years old. That would mean a 104/105 year old man mentored teenage Jesus for several years before Jesus started his ministry at age 30, at which time Joseph would have been 142 years old at least.
 
Afadhali umejua kuwa wewe ni kafiri kwa kushindwa kuitetea dini yako,haya ww eleza aya ya qur an inayosema kafiri akikuzuieni kumuabudu mola wako umchekelee.

Wewe ustadhi feki utakufa kama Ilunga na tutakusahau!
 
Mkuu kahtaan

Hivi baba yake Luka ni nani na baba yake Mahayo ni nani na baba yake Paulo ni nani?

Kahtaan mwenyewe hajui Bible, huwa anaandika kwa hisia tu, badala ya kuweka aya yeye anaandika, kakende ka pumbu
 
Anione mwema nani...? Mie humu jamvini ni mtu mwenye mawazo huru... hata hao Wakristo nabishana nao sana humu lakini ni kwa mambo ya msingi kwa dini na sio upuuzi kama wa kumtetea Sheikh Ilunga.
Tatizo natumia simu,ningekupa like. Hata hivyo pokea tano.
 
Wewe uliua makafiri wangapi kwa maagizo ya Ilunga?

Kama hukuua hata mmoja basi hukupaswa kumtunuku kwani hukufuata maagizo yake.

Matendo hukidhi haja maridhawa kuliko maneno..wenye moyo wa uthubutu ni wachache
....
 
Watu kama Ilunga ndiyo wanaosababisha watu waamini kwamba yanayofanywa na bokoharam,

Nimesikia kwenye taarifa mkuu wa bokoharam kapanga kuwauza sokoni wale mabinti mateka...
 
Ni faraja kwa makafiri waliokuwa wanamuogopa! Lkn kwa waungwana ni msiba mkubwa.
Na hakuna kitu mtampunguzia kwa majungu yenu!
Yule alikuwa simba! Kaondoka ndio tunaona mijusi wanatoka mashimoni na kuropoka ovyo!
Wakati wa uhai wake thubbutu!

mgekamuliwa kinyesi wote nyie!
Lkn tupe muda kidogo tu! Atatokea mwingine mara 10 ya Sheikh lipunga!
God willing!

Kweli kabisa Mkuu. Nguchiro ndio tunawaona sasa baada ya Simba kuondoka. Shekhe Ilunga ni Simba.Allah(s.w) amrehemu shekhe wetu.
 
To those claiming Joseph was a 90 year old 'craddle-robber' who married a 12/14 Year old Teenage Mary, kindly see how "intelligent, full of logic, and incredible reasoning" you truly are.

If Joseph was 90 and Mary was 12, then Joseph would be something 92 years when Jesus was born, right?

Now, Its a known fact that King Herod was after the new born baby for which reason he (Jesus) was taken to Egypt. In essence, a 92/93 year old Joseph was cris-crossing the middle east, running for dear life with a teenage bride and an infant? Let's agree that was Adrenaline in action. I'll still take that with a pinch of salt.

Now, when Jesus clocked 12, he was taken to the temple for dedication. Joseph, Mary and Jesus traveled from Nazareth to Jerusalem for this purpose; we're talking several kilometers here.
By this time, Joseph would have been at least 104/105 years old. So are your sources trying to suggest with the foregoing logic that; a 104 Joseph trekked all the way to Jerusalem for the dedication of his 12 year old Jesus?

Furthermore, Joseph mentored Jesus to become a carpenter. At what age did this mentoring start?
Let's assume it was even when Jesus was 12 years old. That would mean a 104/105 year old man mentored teenage Jesus for several years before Jesus started his ministry at age 30, at which time Joseph would have been 142 years old at least.

Sitaki story za vijiwe. Nataka muandike hivi. Mohamed aliambiwa afanye ngono bila ukomo Sura 33:50

Mohammed ali share love na mwanae wa kulea Sura 33:37

Mwamedi alifanya ngono na mtoto Muslim (8:3309) , Bukhari 58:234

ALLAH kaahidi Waislam wanawake 72 wenye macho mazuri Al-Quran 44:54
Quaran 78:33
hadith 2687

Nataka muandike hivyo siyo vijiwe

[h=3]Wananchi wa Waumini wa Dini ya Kiislam Wakijumuika katika Mazishi ya Shekh Ilunga.Hassan Dar.[/h]

Maalim Seif akishiriki katika mazishi ya Sheikh wa Ilunga Shekh.Hassan Kapungu yaliofanyika katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni Dar es Salaam. akijumuika na Wanancjiji Dar-es-Salaam.

Wananchi wakishiriki katika mazishi ya Shekh Ilunga Hasaan Kapungu katika makaburi ya Magomeni Mwinyimkuu jijini Dar-es-Salaam.​
Wananchi wakishiriki katika mazishi ya Shekh Ilunga Hasaan Kapungu katika makaburi ya Magomeni Mwinyimkuu jijini Dar-es-Salaam. (Picha na Salmin Said OMKR)

Na; Hassan Hamad (OMKR).
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewaongoza maelfu ya waislamu katika mazishi ya sheikh maarufu wa Mkoa wa Mwanza na mwanaharakati wa dini ya Kiislamu marehemu sheikh Ilunga Hassan Kapungu.

Sheikh Ilunga amefariki dunia mjini Dar es Salaam na kuzikwa katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni.

Katika uhai wake sheikh Ilunga Kapungu alikuwa mwanaharakati ambaye mara nyingi alikuwa akiendesha mihadhara ya wazi ya dini ya Kiislamu, ambapo mwishoni mwa mwaka 2013 alikamatwa kwa tuhuma za uchochezi mkoani Tabora na baadaye kuachiwa huru.

Kwa mujibu wa taarifa za kimtandao, kabla ya kukamatwa kwake na kuachiwa huru Disemba mwaka 2013, marehemu sheikh Ilunga alikwenda nchini India kwa matibabu baada ya kusumbuliwa na matatizo ya figo pamoja na sukari.

Akizungumza katika mazishi hayo sheikh Basaleh wa Dar es Salaam, amesema marehemu sheikh Ilunga alikuwa mwanaharakati imara na ni mfano mzuri wa kuigwa katika harakati za dini ya Kiislamu.

Mazishi yake yameweka historia baada ya maelfu ya waislamu kujitokeza kushiriki kwao, hali iliyopelekea mchanga wa kaburi lake kufukiwa kwa mikono badala ya kutumia mapauro na majembe kama ilivyozoeleka.

Masheikh kutoka Mikoa mbali mbali ya Tanzania wameshiriki mazishi hayo akiwemo sheikh Kishki.
 
Kahtaan mwenyewe hajui Bible, huwa anaandika kwa hisia tu, badala ya kuweka aya yeye anaandika, kakende ka pumbu

Nimesoma BIBLIA KULIKO mzazi wako.wa kike! Manake na wewe babako humjui kama vile Matayo, marko, Luka na John!

Watoto wa zinaa wana tabu sana!
Kuishi bila kutambua baba zao!
 
Sheikh Ilunga umetuacha ila mawazo yako fikra zako bado zingali hai kama hatukukuelewa leo kesho tutakuelewa tu
 
Kifo cha Ilunga ni faraja kubwa sana kwa waislam, wakristo na wapagani wapenda amani liache lizikwe lioze lichochezi likubwa lile.

Hahaaa acha kutapatapa, athari aliyo iacha al marhum Sheikh ilunga ni kwa vizazi na vizazi.
kwa hakika amezalisha wanaharakati wengene wengi kwa maelfu.

we Endelea kushangilia kifo chake, subiria athari yake utaiona.
 
Watu kama Ilunga ndiyo wanaosababisha watu waamini kwamba yanayofanywa na bokoharam, alishabab nk ni mafundisho ya Kiislam.
Na ukiona mtu anawaunga mkono watu kama Boko Haram au Al Shabab kwa kigezo cha dini, basi mtu anapaswa kuchunguzwa... binafsi siku nikisikia Boko Haram na Al Shabab wamesambaratishwa, ni siku ambayo nitafanya sherehe!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom