Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 77,972
- 165,418
apumzike kwa amani kivipi?kwani alikuwa amempokea Yesu kama bwana na mkombozi wa maisha yake??hapo hamna kupumzika kwa amani tena nahisi shetani anaweza kumrudisha duniani kama pepo mchafu
Nasikia na yule mtaalam wa nyota kageuzwa kuwa pepo mchafu, anasumbua sana wakazi wa Magomeni Mwembechai