Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Status
Not open for further replies.
We si kafiri tu na pombe zko subiria adhabu ya m, mungu kama utakufa na imani ya kikafiri uliyonayo

Join Date : 2nd May 2014
Posts : 5

Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0
Kaa kwanza uzoee humu ndo uje na shudu zako hizi...Vipi pombe hupendi kumbe?Na baada ya hapo unapita juu ya barabara zilizojengwa kwa kodi ya TBL kwa raha zako!!Kweli kwa akili hii ni halali hata ukijiua ili upate mabikira 72
 
Alikua mdini sana, alichukia sana wakristu. alisema waislamu wawaue maaskofu na mapadri, sijui yeye aliua wangapi.
 
Swali langu kwa Muslim. Kwanini huyo ALLAH anaeagiza mchukie kafir, muue kafir bado anaendelea kuumba makafir kila kukicha hadi leo. Hamuoni kama anawaongezea matatizo? anawaongezea kazi ya kuua?. Mimi nadhani adui yenu ni ALLAH anaeumba makafir, au mnasemaje?
 
...Qur'an 2:157. Hao juu yao zitakuwa baraka zitokazo kwa Mola wao Mlezi na rehema. Nao ndio wenye kuongoka
Kwa kuwa (inasemekana) kati ya vitu watakavyopewa walioyatoa maisha yao kuisimamisha dini ya Mwenyezi Mungu kama akina Sheikh Ilunga ni mabikra 72 wakila nao raha mchana kutwa usiku kucha, hebu tupe ilmu:-

(i) Je, ni kweli kwamba suala la mabikra 72 ni dhana tu au ni uhalisia?
(ii) Kama ni uhalisia, wanawake kama wewe mtakapokufa thwawabu yao nini? Maana wanaume hupewa mabikra, mahajjat nao je?

RIP Ilunga.
 
Innalillah wainna ilayh raajiuun. Huu ni msiba mzito kwetu waislam
 

hahaaaa swali gumu hilo wqtqlijibuje na allah kila kukicha anawaongezq makafriiiii, inferiority complex inawaangaisha.
 

Kwa hiyo kumbe alikuwa anafanya uchochezi wake wote ule akijua muda si mrefu atakufa kwa ugonjwa huu unaousema hapa?Basi kwa stahili hili hiyo peponi ataisikia tu naamini lile bomu la Arusha lina mkono wake
 

Swali gumu na muhimu haya ngoja tusubiri majibu toka kwa wafuasi wa allah ingawa niwajuavyo mimi watauliza swali kabla ya kutoa jibu.
 

Alichokipata ndio matokeo yamahubiri yake. Vp nayule mwingine mwenye matatizo kule mahakaman hali yake?
 

Kwanin hao mabikra asipewe hapa hapa duniani mpaka aende huko akhera?
 
Kweli mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…