Rapherl
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 3,504
- 2,256
Ni kweli alikuwa mchochezi,acha matusi,CD zake tunazo. Mabikra saba wanamsubiri huko aendako.
Mabikra 72....
Huu si udhalilishaji kwa wanawake?!
Ni kweli alikuwa mchochezi,acha matusi,CD zake tunazo. Mabikra saba wanamsubiri huko aendako.
Ni kweli alikuwa mchochezi,acha matusi,CD zake tunazo. Mabikra saba wanamsubiri huko aendako.
Qur'an 2:156. Wale ambao ukiwasibu msiba husema: Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu......![]()
Duh atakuwa anafaidi ma-bikira 72 sasa hivi huko aliko
Kwa kweli nyie mnaokebehi kifo hamfanyi sawa kabisa,haipendezi hata kama alifanya uchochezi ameshafariki
1: Dawa ya kafiri ni bunduki.
2: Akiuawa shehe,tafuteni vi
askofu na vi padri viwili
vitatu mviue.
3: Kafiri si wa hadh sawa na
muislamu.
Akafie mbali mchochezi
mkubwa.
Kwa kweli nyie mnaokebehi kifo hamfanyi sawa kabisa,haipendezi hata kama alifanya uchochezi ameshafariki
Huyu shekh alikuwa anatafutwa na serikali kwa makosa ya uchochezi, kuna CD zilikuwa zinahamasisha waislamu wawaue mapadree, alikuwa akizungmzia mauaji ya kule Mombasa Kenya- akiwashangaa waislamu kuandamana badala ya kuwaua wakristo. Mungu amsamehe.
Kwa kweli Sheikh Ilunga alikuwa ni mtu mwema na mpenda amani.
Alihubiri upendo na alitaka binadamu tupendane bila ya kujali tofauti zetu za kidini, kiitikadi, kiuchumi na kitamaduni.
Mungu amlaze mahali pema peponi.
Umefurahi?
Nyeusi ni nyeusi, haiwezi kuwa samawati.
Ok sawa
Mkuu hayo ni mawazo yangu, kukebehi mfu ni nonsense, sio suala la kufurahi hata kdg. Hivi sisi tunamkosea mangapi Mungu?
Ni pigo kubwa kwetu waislam ulijitaidi sana kutuamsha tulipolala inshallah tutayafanyia kazi mawaidha yako na ipo siku tutajikomboa kutoka kwenye mfumo kristo. Inalillah wainalilah rajiun
Kwa kweli nyie mnaokebehi kifo hamfanyi sawa kabisa,haipendezi hata kama alifanya uchochezi ameshafariki