maombi ya kufunga "kula 7" mfululizo, yamejibu.maombi ndio silaha yetu kubwa wakristo.
maombi ya kufunga "kula 7" mfululizo, yamejibu.maombi ndio silaha yetu kubwa wakristo.
Nikikuwekea link hapa nitachukuliwa kama vile msambazaji wa DVD za uchochezi, ila unaweza kugoogle ktk youtube ujionee mwenyewe alivyonukuu quran ikisisitiza kwamba kulipiza kisasi kwa waisilamu ni jambo sahihi, na jamaa akawaeleza waisilamu wamuue Kardinali (Tanzania yupo Kardinali mmoja tu, so alikusudia wamuue Pengo)wengine tupo gizani nini alifanya? tupeni wasifu wake ss twamjua shehe ponda tu
huo utakuwa uislamu aisee...Hivi huu mstari uwa una maana gani katika biblia?
"Mpende adui yako" maana kama unafunga kula kwa kumuombea kifo (au jambo lolote baya) adui, then sijui huo ni uikristo gani!
Mkuu asante sana, za siku aisee? Nimemuona, ila sijui namfananisha na yule mzee alikuwa anasema waislam wawaue mapadri, sjui ndio huyu ama nimemix, anyway yaliopita si ndwele apumzike kwa amani mzee Ilunga
Kifo uchungu ni ule ule ikiwa kitandani au kwa risasi Allah akusamehe kwa usilo lijua inshaallah siku moja utajua ukweli.
Huyu shekh alikuwa anatafutwa na serikali kwa makosa ya uchochezi, kuna CD zilikuwa zinahamasisha waislamu wawaue mapadree, alikuwa akizungmzia mauaji ya kule Mombasa Kenya- akiwashangaa waislamu kuandamana badala ya kuwaua wakristo. Mungu amsamehe.
Huna hata ubinadamu kushabikia kifo cha binadamu mwenzio kisa tu, mmetofautiana imani? Jamaa, We una mkataba na muumba?
Kama anaistahili Pepo aende