Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Sheikh kafariki mida ya usiku wa kuamkia leo,swala ya maiti itaswaliwa msikitini wa kichangani-magomeni
Inna-lillahi wainna ilaihi raaajiun
Huwa sifurahii kifo cha mtu hata kama ni adui yangu
Ila shehe ilunga alizidisha utaahira, kwenye ulimwengu wa watu wastaarabu yule alikua hafai.
Mda mwingine silaumu ugonjwa,nalaumu chanzo cha ugonjwa,tulaumu kitabu alichokua anakitumia shehe kutafsiri maandiko.,ndivyo kinavyofundisha,kuhamasisha mauaji,ugomvi,chuki,mafarakano.
Shehe wafurahie mabikra wako 72.,mwambie mungu akupe na wangu maana mimi siwataki na sitawataka hata kama ntakuja huko.