TANZIA TANZIA. Taarifa kwa wana Chit-Chat wote.

TANZIA TANZIA. Taarifa kwa wana Chit-Chat wote.

Arushaone

Platinum Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
15,237
Reaction score
13,567
Wakubwa na wadogo wake kwa waume, kwa masikitiko makubwa nawatangazia kuwa nimefiwa na mjomba wangu aitwaye DANIEL. Alifariki ghafla jana usiku na alikuwa amehamia na kuweka makazi sehemu za Gallapo Babati mkoani Manyara. Mchana wa leo nitaenda kule.
 
Pole sana Mkuu! Roho ya marehemu Daniel ipate rehema kwa Mungu, apumzike kwa amani. Aaamen!
 
Pole sana Hubby wangu.
Hv ndo yule ulieniambia cku ile.
Aisee ntakuja tuungane Msibani.
 
Pole sana Mkuu Arushaone. Mwenytezi Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema. Apumzike kwa amani
 
Last edited by a moderator:
Wakubwa na wadogo wake kwa waume, kwa masikitiko makubwa nawatangazia kuwa nimefiwa na mjomba wangu aitwaye DANIEL. Alifariki ghafla jana usiku na alikuwa amehamia na kuweka makazi sehemu za Gallapo Babati mkoani Manyara. Mchana wa leo nitaenda kule.

Pole sana mkuu, bwana alitoa na bwana ametwaa
 
pole sana MENTION =75985# Arushaone MENTION mungu akupe nguvu amlaze mahali pema peponi ameen
 
RIP uncle DANIEL.
Be strong arushaone ,Uncle ulimpenda ila Mola kampenda zaidi.
 
pole sana Arushaone, mola akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.may he RIP.Amen!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Arushaone
Kwa niaba ya Wana-Wing wote natoa pole za dhati kwako na kwa wanafamilia yako.
Kiongozi elewa kuwa tuko pamoja sana ktk kipindi hiki kigumu kwako.
Naamimi muda wowote tutaonana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom