TANZIA TANZIA. Taarifa kwa wana Chit-Chat wote.

TANZIA TANZIA. Taarifa kwa wana Chit-Chat wote.

Pole sana mwaya, inabidi na mie nikusindikize. Tunaondoka saa ngapi? Nipo nkoarua.

King'asti umenichekesha🙂 sana! Njoo tunaondoka mchana kwa ajili ya maandalizi. NKOARUA....hahaha!
 
Last edited by a moderator:
Wakubwa na wadogo wake kwa waume, kwa masikitiko makubwa nawatangazia kuwa nimefiwa na mjomba wangu aitwaye DANIEL. Alifariki ghafla jana usiku na alikuwa amehamia na kuweka makazi sehemu za Gallapo Babati mkoani Manyara. Mchana wa leo nitaenda kule.

Pole sana.
 
Pole sana Arushaone kwa kufiwa. Mwenyezi Mungu amlaze pema Mjomba Daniel
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Kiongozi! Ni kipindi kigumu sana lakini tuna mfariji wa kweli wa Imani na MUNGU mwenye utukufu wa yote awape faraja mwenyewe familia yote,ndg jamaa na hata marafiki!

Tu pamoja na hata Mungu akutangulie ktk safari ya leo ufike na hata urudi salama!
Na roho ya Mjomba MUNGU ailaze mahala pema peponi!

Amen!
 
Back
Top Bottom