HorsePower
JF-Expert Member
- Aug 22, 2008
- 3,612
- 2,569
Pole kwa familia na wanafunzi wote wa UDSM. Mungu amlaze mahali pema.Wana-JF, MMU,
*Prof. Michael Kajela Beatus Wambali, Shule ya Sheria UDSM, ameaga Dunia hii leo akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
*Maheremu Prof. Wambali atakumbukwa sana kwa umahiri wake katika masomo ya Katiba, Sheria ya Utawala wa Umma ,na procedural laws kwa ujumla hapa Shule ya Sheria, UDSM
source: Maxmilian Tumaini, Mwenyekiti wa Wanafunzi, UDSM School of Law
RIP Prof. Wambali