Tanzia: Peter Mangula (mtoto wa Mangula) afariki dunia

Msiba ni sehemu ya maisha yetu pole xna natupo pamoja ndani yakipindi hiki kigumu, naomba niwaulize kwapamoja hope tulishawahi kwenda misibani? Em! Niambieni wakati wosia wa marehemu unasomwa mbona huwa hawasemi kikweli maisha ya marehemu aliyokuwaakiishi APA Duniani Mara utasikia marehemu alipenda xna watu, alikuwepo mchamungu wakati huo alikuwepo fisadi mom nasubir Jembe Rostm Akisepa mtasikia vitu vya ajabu ninyi.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mzee Mangula
Binti yake yupi jamani, isije ikawa ni TWIDETH
RIP Peter

Ni neema (also nemela kwa kilugha chao), alisoma dodoma mlimani primary xkul then st francis seminary mbeya baade akaenda abroadf, nafikiri uk.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Duh! Inahuzunisha kweli kweli. Huyu Mzee kama Ayubu, alifiwa na mke miaka michache iliyopita; akafiwa na mwanae hivi majuzi; na leo kafiwa na mwanae mwingine bila kusahau madhila aliyoyapata ndani ya chama chake baada ya 2005. Hopefully, Mungu atamwinua atakuja kuwa mtu mkuu katika nchi hii. Poleni familia.

Hakika inasikitisha sana.
Mzee Mangula anapita katika majaribu mazito.
Tumwombee amtumainie Mungu wakati huu wa simanzi nzito.
Pole Mzee Manula na Mungu atakurehemu
RIP Peter,
 
Msiba ni sehemu ya maisha yetu pole xna natupo pamoja ndani yakipindi hiki kigumu, naomba niwaulize kwapamoja hope tulishawahi kwenda misibani? Em! Niambieni wakati wosia wa marehemu unasomwa mbona huwa hawasemi kikweli maisha ya marehemu aliyokuwaakiishi APA Duniani Mara utasikia marehemu alipenda xna watu, alikuwepo mchamungu wakati huo alikuwepo fisadi mom nasubir Jembe Rostm Akisepa mtasikia vitu vya ajabu ninyi.
Na wewe ukifa utambulishwe vipi mkuu.
 
Duh! Inahuzunisha kweli kweli. Huyu Mzee kama Ayubu, alifiwa na mke miaka michache iliyopita; akafiwa na mwanae hivi majuzi; na leo kafiwa na mwanae mwingine bila kusahau madhila aliyoyapata ndani ya chama chake baada ya 2005. Hopefully, Mungu atamwinua atakuja kuwa mtu mkuu katika nchi hii. Poleni familia.

seriously?
 
Back
Top Bottom