Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
mungu ampe nguvu..Mungu wangu, ni kitu gani hiki tena,
Naona kama nimechanganyikiwa.
R.I.P. Peter.
maana ni miezi tu alimpoteza binti yake Nemala...leo Peter
pole mzee mangula'
R.I.P Peter
mungu ampe nguvu..Mungu wangu, ni kitu gani hiki tena,
Naona kama nimechanganyikiwa.
R.I.P. Peter.
dah... mzee naona ana mwaka mbaya sana, kazini na nyumbani
pole baba
Pole sana mzee Mangula
Binti yake yupi jamani, isije ikawa ni TWIDETH
RIP Peter
Anawatoa kafala.
CCm ni chama kinachoendeshwa kwa misingi ya tutoana kafala.
Duh! Inahuzunisha kweli kweli. Huyu Mzee kama Ayubu, alifiwa na mke miaka michache iliyopita; akafiwa na mwanae hivi majuzi; na leo kafiwa na mwanae mwingine bila kusahau madhila aliyoyapata ndani ya chama chake baada ya 2005. Hopefully, Mungu atamwinua atakuja kuwa mtu mkuu katika nchi hii. Poleni familia.
Na wewe ukifa utambulishwe vipi mkuu.Msiba ni sehemu ya maisha yetu pole xna natupo pamoja ndani yakipindi hiki kigumu, naomba niwaulize kwapamoja hope tulishawahi kwenda misibani? Em! Niambieni wakati wosia wa marehemu unasomwa mbona huwa hawasemi kikweli maisha ya marehemu aliyokuwaakiishi APA Duniani Mara utasikia marehemu alipenda xna watu, alikuwepo mchamungu wakati huo alikuwepo fisadi mom nasubir Jembe Rostm Akisepa mtasikia vitu vya ajabu ninyi.
mungu ampe nguvu..
maana ni miezi tu alimpoteza binti yake Nemala...leo Peter
pole mzee mangula'
R.I.P Peter
mzee mangula hilo jiko ulilochukua mwaka huu lina balaa. liache. ni mlango wa nane huyo
Mangula alifunga ndoa mwaka huu. Huyo mwanamke aliyeolewa na hiki kibabu mbona amejidhalilisha pamoja na familia yake. njaa iliyoko kwao si ndogo.
Na wewe ukifa utambulishwe vipi mkuu.
It takes a shetani in the form of MAN FROM PAWAGA to say that..........bora shetani kuliko wewe....