Tanzia: Peter Mangula (mtoto wa Mangula) afariki dunia

Tanzia: Peter Mangula (mtoto wa Mangula) afariki dunia

Mtoto wa kwanza wa Makamu nwenyekiti wa CCM Philip Mangula ,Peter Mangula amefariki Dunia leo asubuhi.

Ntaendelea kuwapa update zaidi

R.I.P Peter Mangula, siso sote mavumbi.
pole sana mzee wangu Mangula.Hii kitu ni zaidi ya majaribu aliyoyapata Ayubu mtu wa Mungu.Damu ya kristo iwafunike wafiwa wote.
 
Hakuna kitu kinauma kama mzazi kuzika wanae. Watoto ndio wanatakiwa kuzika wazazi na sio vinginevyo.

Je ukitaka mafanikio ya ki dunia. Lazima ulie ili kesho ucheke. Kwa watu wa Mkoa wa Iringa haya yanawezeka. Utakuta kijana wa miaka ishirini ana scania kumi. kisa kawatoa wazazi kafara
 
dah... mzee naona ana mwaka mbaya sana, kazini na nyumbani

pole baba
 
dah! pole sana mzee Mungu mwenyewe akufariji "kufa ni faida kuishi ni Kristo"
 
pole mzee Mangulla,.

R.I.P our late brother Peter Mangulla!!
 
Back
Top Bottom