Tanzia: Peter Mangula (mtoto wa Mangula) afariki dunia

Tanzia: Peter Mangula (mtoto wa Mangula) afariki dunia

R.I.P Peter,mzee wetu mwaka huu alifunga mdoa na mwaka huu kafiwa na wanae 2,kwa kweli inauma.pole sana Mangula

Mangula alifunga ndoa mwaka huu. Huyo mwanamke aliyeolewa na hiki kibabu mbona amejidhalilisha pamoja na familia yake. njaa iliyoko kwao si ndogo.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mzee Mangula na familia yote. Mwenyezi Mungu ampumzishe marehemu mahala pema
 
Mtoto wa kwanza wa Makamu nwenyekiti wa CCM Philip Mangula ,Peter Mangula amefariki Dunia leo asubuhi.

Ntaendelea kuwapa update zaidi

R.I.P Peter Mangula, siso sote mavumbi.

pole kwa wale wote waliokuwa wanamtegemea....
 
Pole wafiwa Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Peter peponi Amina
 
kabla ya huyo binti aliefariki kwa ajali kuna mwingine tena alifariki alikua kiongozi wa dini enzi hizo

alafu ndo akaja huyo binti then leo huyu peter, hili ni janga aisee....mzee mangula atakua na hali mbaya

sana aisee. R.i.p peter mangula

duuh


Hakuna kitu kinauma kama mzazi kuzika wanae. Watoto ndio wanatakiwa kuzika wazazi na sio vinginevyo.
 
mungu wa Afrika ndo anatakiwa awafariji maana marehemu alikuwa Mwaafrika
Hahah funny! We ukitaka kuwaombea kupitia mungu wa afrika au india unaweza tu, as for me ninaomba kua Mungu wa Israel ambaye ni Mungu wa waafrika na wote wenye mwili aingilie kati kwa habari ya Mangullah. Hayo ni maombi yangu na hayana formula na kwa hilo huwezi nichagulia! It is a matter of imani
 
Mtoto wa kwanza wa Makamu nwenyekiti wa CCM Philip Mangula ,Peter Mangula amefariki Dunia leo asubuhi.

Ntaendelea kuwapa update zaidi

R.I.P Peter Mangula, siso sote mavumbi.

RIP, poleni kwa wafiwa katika kipindi kigumu kifamilia, maana ni hivi karibuni mzee mangula alifiwa na bintiye
 
Poleni wote kwa msiba


Mungu awape nguvu kwenye wakati huu mgumu
 
Pole mzee wetu Mangula,Mungu akupe roho ya ustahimilivu katika wakati huu mgumu.Bwana alitoa .Bwana ametwaa,Jina lake lihimidiwe.
 
Back
Top Bottom