Tanzia: Peter Mangula (mtoto wa Mangula) afariki dunia

Tanzia: Peter Mangula (mtoto wa Mangula) afariki dunia

Rip Peter.......pole mzee Mangula!!!!Huyu peter alisoma makongo????
 
Duh..! Mwaka huu wake Mangula... inasikitisha.
 
Mtoto wa kwanza wa Makamu nwenyekiti wa CCM Philip Mangula ,Peter Mangula amefariki Dunia leo asubuhi.

Ntaendelea kuwapa update zaidi

R.I.P Peter Mangula, siso sote mavumbi.
Duh, pole sana mzee Mangula. Amefiwa mke, binti, na sasa kijana wake mkubwa. Haya ni mapigo na majribu makuu kwa mzee Mangula.
 
Alidondoka gafla (Moyo ulifeli) juzi tarehe 25 na kupoteaza fahamu, alipelekwa hospitali Muhimbili lakini ilipofika jana saa 6 mchana aliaga dunia. Msiba uko Osterbay nyumbani kwa Mzee Mangula na maziko yatakuwa siku ya Ijumaa Dar. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina lake libarikiwe. R.I.P bro.
 
aisee.... watu tunapitia mengi.. lakini mapito yetu yanatofautiana.
pole sana kwa familia hiii..... R.I.P pierre
 
Mungu ampe nguvu mzee Mangula. Alifiwa na mke nadhani ni mwaka 2005, kafiwa na mwanae wa kike mwanzoni mwa mwaka huu, then kafiwa tena na wa kiume. Very sad indeed
 
du!huu ni mtihani mkubwa sana kwa mzee,kaza moyo mzee wetu,hayo yote ni mapito tu.
 
Anawatoa kafala.
CCm ni chama kinachoendeshwa kwa misingi ya tutoana kafala.

Acha kejeli ndugu, wewe ukifa wazazi wako au ndugu zako wanakuwa wamekutoa kafara? Kama ni kafara basi angetoa ile 2005 alipowekwa Benzi. Mzee wa watu ni mtu wa dini sana na aliamua baada ya benji akaenda kijijini kwake hadi walipoona aibu wakamwita tena. Tema mate chini yasikukute.
 
Back
Top Bottom