Tanzia: Nimepatwa na msiba wapendwa

Tanzia: Nimepatwa na msiba wapendwa

asante sana nashukuru kwa faraja yako kwani tuko tunasubiri taratibu zote za msiba na ratiba za ibada hapa Mwimbili hospital niko so sad mpendwa tuombee tunasafirisha msiba
Ni kazi ya MUNGU, MUNGU anyooshe mkono wake wa faraja juu yako Lady , tupo pamoja..
 
poleni sana Ladyfurahia mungu awatie nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu
 
Siwezi kukutaarifu kwa maana sikujui wala hunijui hivyo msiba wangu haukuhusu!

Kuwa na aibu basi sometimes,usingecoment kabisa ingekuwa busara,msiba wako unyamaze au usinyamaze kivyako ila wa watu uachie wenyewe kama unaona haukuhusu.
 
Kuwa na aibu basi sometimes,usingecoment kabisa ingekuwa busara,msiba wako unyamaze au usinyamaze kivyako ila wa watu uachie wenyewe kama unaona haukuhusu.
Hata wewe pia ungeweza kunyamaza pia na usingecomment kabisa kwa maana pia nilichoandikia hakikuhusu, ungepotozea tu!
 
Siwezi kukutaarifu kwa maana sikujui wala hunijui hivyo msiba wangu haukuhusu!
Sasa utanitaarifuje wakati utakuwa ushakufa?? Watakaonitaarifu ni ndugu zako kwahiyo kuja kuko palepale.
 
ladyfurahia;

poleni sana wafiwa wote pamoja na ndg jamaa na hata marafiki.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ladyfurahia.With sympathy sympathie_perte_daime_une_carte-p137146713239414396en8zg_216[1].jpg avec_la_sympathie_la_plus_profonde_carte-p137905582396503305en8zg_216[1].jpg.
 
Last edited by a moderator:
Basi pole si ndio unachiokitafuta! wewe hauna ndugu na jamaa wa kuwajulisha kwa kuwapigia simu mpaka uje kuanika mambo yako binafsi humu?

Siamini ninachokisoma!!!!!!!Samahani babu Asprin naomba uje uniazimishe ile miwani yako ya macho nisome vizuri maanake sina imani sana na macho yangu kwa nilichokisoma!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
umeshinda jipigie makofi
Pole sana Excellent,dunia hii ina mengi na watu wa kila aina,hata hivyo nakupongeza kwa hekima uliyoionyesha asiyetaka kushaurika huwa anaachwa wahenga walisema funika kombe........Big up bro.
 
Last edited by a moderator:
Siamini ninachokisoma!!!!!!!Samahani babu Asprin naomba uje uniazimishe ile miwani yako ya macho nisome vizuri maanake sina imani sana na macho yangu kwa nilichokisoma!!!!!!!!
Hata mie nimeshindwa kumsoma. Si unajua ziraili anapomtafuta mtu humfanya abwabwaje atakavyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom