Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Shikamo kaka!
Mhhhhhhhhh yaani we acha tu.
Mhhhhhhhhh yaani we acha tu.
Ahhhhhhhhh dogo bora umefika nilikuwa nawaza nikuite sasa hivi kama vile ulijua.Pole dada sana ladyfurahia !
Marhaba mdogo wangu em tusiongee sana humu leo,kama una jambo unataka kuniambia si unajua msiba tena mdogo wangu,twende kule cc.Shikamo kaka!
Pole sana Excellent,dunia hii ina mengi na watu wa kila aina,hata hivyo nakupongeza kwa hekima uliyoionyesha asiyetaka kushaurika huwa anaachwa wahenga walisema funika kombe........Big up bro.
Yaani we acha tu hii dunia ina mengi mambo,watu wanasema dunia sio mbaya ila watu wanaokaa ndani yake,na ndo hayo tena.mkuu mi nashangaa tatizo lake hapo lipo wapi,tena kwa mazingira kama haya bado anamponda mhusika
Pole sana my cousin.... Mwenyezi Mungu akutie nguvu!!!