Tanzia: Nimepatwa na msiba wapendwa

Tanzia: Nimepatwa na msiba wapendwa

habari wana jamvi wenzangu

Nina masikitiko na simanzi kubwa ndani yangu kwani nimeondokewa na kipenzi changu mwanangu wa ukoo.

Kwa taarifa hii ya jana iliyonishtua na kunipa simanzi zisizopimika nimeondokewa na kipenzi changu ambaye
ni cousin wangu na kwa upande wa mama yangu mzazi ananiita mama wa ukoo yaani mwanangu, alikuwa anasumbuliwa na tatizo la appendex ambayo ilipasukia tumboni na vilevile alikuwa mjamzito na presha ilishuka chini, jana majira ya jioni alipopelekwa chumba cha upasuaji wakati wanamfanyia matibabu ndipo akakata roho ameacha mume na watoto wawili, na leo tunafanya taratibu za kuusafirisha mwili kwenda mkoani kuzika. sina faraja ingine namshukuru Mungu kwani ndiye aliyetoa na ametwaa jina lake lihimidiwe, mwenzenu niko so sad. Tutasafiri jioni sana na tutaaga pale Mwimbili kuanzia majira ya saa nane mpaka saa kumi hivi ila tunasikiliza kamati ya mazishi itakaposema.
karibuni wapendwa.

ladyfurahia

pole sana. tuko pamoja katika msiba huo
 
asante sana mkuu nimekwishapoa ingawaje inahuzunisha sana ndugu yangu kuondokewa na kipenzi chako na jumatatu, jumanne tulikuwa tunampa moyo hospitali alipolazwa jana tunaambiwa amekufa jamani so sad
Pole sana mkuu.
 
asante sana mpendwa inahuzunisha sana ni jana tu katutoka jamani yaani hapa naandika machozi yananitoka sin furaha tena ni huzuni jamani wakati jnne alikuwa anaongea na kutupa moyo wenzake pale hospitalini na kusema tumuombee anakwenda chumba cha upasuaji eti jana tu katutoka so sad jamani
ladyfurahia

pole sana. tuko pamoja katika msiba huo
 
Pole sana!Mungu awe nanyi ktk kipindi hiki kigumu!
 
Mimi na famillia yangu tunakupa pole sana.
 
ndugu mkoani ni Mbeya unakaribishwa sana tutakuwa pale mwanjelwa karibu airport ukifika hapo niPM nitawasiliaana nawe ila ukiona kimya uujue ndo ejoooejoooo! zimeshaanza hapo
Touching..so sorry Mungu awape Nguvu..mkoani ni wapi ili watu washiriki nawe
 
habari wana jamvi wenzangu

Nina masikitiko na simanzi kubwa ndani yangu kwani nimeondokewa na kipenzi changu mwanangu wa ukoo.

Kwa taarifa hii ya jana iliyonishtua na kunipa simanzi zisizopimika nimeondokewa na kipenzi changu ambaye
ni cousin wangu na kwa upande wa mama yangu mzazi ananiita mama wa ukoo yaani mwanangu, alikuwa anasumbuliwa na tatizo la appendex ambayo ilipasukia tumboni na vilevile alikuwa mjamzito na presha ilishuka chini, jana majira ya jioni alipopelekwa chumba cha upasuaji wakati wanamfanyia matibabu ndipo akakata roho ameacha mume na watoto wawili, na leo tunafanya taratibu za kuusafirisha mwili kwenda mkoani kuzika. sina faraja ingine namshukuru Mungu kwani ndiye aliyetoa na ametwaa jina lake lihimidiwe, mwenzenu niko so sad. Tutasafiri jioni sana na tutaaga pale Mwimbili kuanzia majira ya saa nane mpaka saa kumi hivi ila tunasikiliza kamati ya mazishi itakaposema.
karibuni wapendwa.
Basi pole si ndio unachiokitafuta! wewe hauna ndugu na jamaa wa kuwajulisha kwa kuwapigia simu mpaka uje kuanika mambo yako binafsi humu?

asante sana nashukuru kwa hiyo kauli yako ambayo kwa sasa haijengi bali inabomoa Mungu akusaidie kwani hujui ulilnenalo asante, hao ndugu ninayo wamekwishapata taarifa na hata nawa humu jf nao ni ndugu zangu tena sana na wapo baadhi ambao tunashirikiana na kusaidiana sana nimeona nao niwashirikishe jambo langu hili kwani na wao wanahusika vilivyo sikutegemea kwa wakati huu unipe hivyo vijembe visivyokuwa na msingi wa wote hivi hujui kuwa watanzania wote ni ndugu, funguka macho yako uone tena utazame siko tayari sasa kukukwaruzana na wewe niko katika majonzi, naomba kaka yangu watu8, Erickb52 wakushughulikie kwani sina la kusema hapa wanajf wenzangu wakushughulikie tena mapema na mwomba ndugu yangu huyu Asprin na Nicas Mtei wakukague yaelekea ujakauguliwa na umeingia humu kwa pupa hujui watu wa humu tunavyoheshimiana, wewe hujui mtu anapita ktka wakati gani unatoa tu maneno yako yasiyo na msingi wowote, NIMEKUSAMEHE KABISA ila chunga kinywa chako
853]Basi pole si ndio unachiokitafuta! wewe hauna ndugu na jamaa wa kuwajulisha kwa kuwapigia simu mpaka uje kuanika mambo yako binafsi humu?

Last edited by a moderator:
Ameni na asante ila kuna jitu limenikwaza humu ndani na limeniongezea majonzi zaidi ila namsamehe kwani hajui alitendalo wewe angalia comment utaona ninani samahani kwa kukutumia hapa amenikwaza mno huyu kijakazi utafikiri limetumwa toka kuzimu
ulimpenda lkn mungu kampenda zaidi . Mungu ailaze roho ya marehem mahala pema peponi........... Ameni
 
So sad! Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu....R.I.P cousin!
 
Asante nashukuru naomba mmsaidie huyu kijakazi naona anatumiwa na shetani wakati huu wa majonzi kwangu hawezi kutoa comment ile pale na kuandika humu hajua watu wa humu tunavyoheshimiana na kujaliana na kupendana amenikwaza sana tena sana na kuniongezea majonzi tele hapa nilipo niko naelekea mwimbili hospitali niombeeni kwani amenivuruga kichwa na kuniletea stres nyingi nimemsamehe hajui alitendalo mwambieni kama hawezi kuishi hapakwenye mahusiano ahame sijafurahishwa kabisa naomba mumwambie kwani mm niko msibani sipendi kukwaruzana na mtu humu nawapenda wote wanajf
mimi na famillia yangu tunakupa pole sana.
 
Ameni na asante ila kuna jitu limenikwaza humu ndani na limeniongezea majonzi zaidi ila namsamehe kwani hajui alitendalo wewe angalia comment utaona ninani samahani kwa kukutumia hapa amenikwaza mno huyu kijakazi utafikiri limetumwa toka kuzimu

ubinadam kazi we mpotezee tuu ukimkimbiza kichaa utaonekana nawewe ni kichaa, wala usijibizane naye
 
Pole sana na mungu awape faraja
 
Asante sana mwambie kijakazi sijafurahishwa kabisa kwa amaneno yake yasiyo na msingi hapa na siko tayari kukorofishana na mtu mm ni muungwana sana tena sana sipendi kuona mwenzangu anaumia hivyo ameniuzi kwa comment zake zisizo na msingi wowote, amenichufua na kuniongezea simanzi tele ila nimemsamehe
so sad! Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu....r.i.p cousin!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom