Tanzia: Nimepatwa na msiba wapendwa

Tanzia: Nimepatwa na msiba wapendwa

pole sana Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu hasa mume wa marehemu pia na watoto wake,
kufa ni faida na kuishi ni kristo ni muhimu na sisi kila nyakati tuwe tumejiandaa
 
pole sana Ladyfurahia....may she rip....this is soo sad
 
Ndo mipango ya mungu mama piga moyo konde huu wakati mgumu utapita na ww utarudi kuwa nomal
 
Pole sana. Napata picha ukaribu wenu na gap alilokuachia. Pole ma mdogo.
 
Pole sana best. Mungu akupe faraja na ujasiri katika kipindi hiki kigumu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nakufikishia rambirambi zangu,na mungu akutie nguvu maradufu,pole sana,na familia yako kwa ujumla.
 
pole sana mwaya lady mungu akupe faraja ktk kipindi hiki kigumu
 
Nashukuru sana kwa wote mlionitakia pole pindi nilipokuwa na msiba wa ndugu yangu nashukuru kwa faraja yenu

be blessed
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom