naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,989
- 5,510
kabisa hii kashfa itanifanya nifunge account ya jf
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]kabisa hii kashfa itanifanya nifunge account ya jf
R.I.P
Labda alivyokufa akaandika " jamani nishakufa"hii tabia naona kama inazidi kuota mizizi,ni kwa uthibitisho upi kwamba hawa ndg zetu wanaofariki dunia ambao taarifa zao zinaletwa hapa jf,ni member wa jamiiforum?.
BTW rip Kennedy.
hakuna sehemu ambayo mleta mada ka-tag ID ya jf ya marehemu.labda ali-tag halafu moderaters wakaifuta.Mleta mada amemtagi kabis marehemu, hivyo unaweza kuclick kwenye hilo jina la marehemu kwenye thread utaona ni mwanajf tokea 2012 japo alikuwa sio mshabiki sana humu.
Kiranga the Great intelligent man mwana wa kwetu yupo.
MkuuSorry mkuu nilipoona Kennedy na nimeingia humu nikijua niwewe ndio umekata daah yaani nimeshtuka sana aisee..