njoo hapa maeneo ya q bar kabla sa tisa nichukueMchango wangu njoo uufate mwenyewe
R.i.pNdugu zangu wananzengo wenzangu wa Tanzania, na hususani wana JF tumepatwa na msiba. Mwana-Jamii Forum mwenzetu kennedy lufulondama hatukonaye tena duniani.
Amefariki jana majira ya saa 1:00 jioni.
Taratibu za maziko zinaandaliwa huko Mkula Simiyu.
View attachment 572287
Kumbe wengi tumekua na urahabu wa Jf......Fukua tu maana marehemu anaonekana hakuwa addicted sana na JF kama mimi, mara ya mwisho aliingia 2012
Mleta mada amemtagi kabis marehemu, hivyo unaweza kuclick kwenye hilo jina la marehemu kwenye thread utaona ni mwanajf tokea 2012 japo alikuwa sio mshabiki sana humu.hii tabia naona kama inazidi kuota mizizi,ni kwa uthibitisho upi kwamba hawa ndg zetu wanaofariki dunia ambao taarifa zao zinaletwa hapa jf,ni member wa jamiiforum?.
BTW rip Kennedy.
Ila nipo na usafiri wa kuazima.njoo hapa maeneo ya q bar kabla sa tisa nichukue
Ila marehemu hakuwa na ushabiki JF, hahahahah maana thread zake mbili tokea 2012 halafu hadi kifo chake bado ni new memberKumbe wengi tumekua na urahabu wa Jf......
Minisipo ingia humu in 6 hours, basi ujue nitakua ninaumwa na nimezidia hata nisiwe na nguvu ya kubonyeza keyboard..[emoji12] [emoji12]
DuuhKumbe wengi tumekua na urahabu wa Jf......
Minisipo ingia humu in 6 hours, basi ujue nitakua ninaumwa na nimezidia hata nisiwe na nguvu ya kubonyeza keyboard..[emoji12] [emoji12]
khe byeIla nipo na usafiri wa kuazima.
Tuambizane mapema kabisa
Sio kesho unikute na ki stalet uanze kununa nuna