TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

hakuna sehemu ambayo mleta mada ka-tag ID ya jf ya marehemu.labda ali-tag halafu moderaters wakaifuta.
f03657ccc273f282ef4edba4af25c34f.jpg
Click kwenye jina la marehemu ID yake itafunguka
 
Poleni sana wafiwa na mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu kwenu
 
Daaahhhh, poleni sana jamani,
Zile Noah zetu zikija mwandaeni kabisa mrithi. Zipo karibu kwa sasa.
Poleni sana wana familia.
 
Pumzika kwa amani. [emoji15][emoji15]

I'm the queen of my own empire. [emoji182]
 
Back
Top Bottom