TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

TANZIA: Mwana JF, Kennedy Lufulondama afariki dunia

Duhh...[emoji25] [emoji25]
Namba inazidi kupungua tu, mbaya zaidi hatuambiwe majina yao tunayo yajua kwa familia ya jf. Na hii hupoteza nguvu na moyo wa kufanya chochote kwa familia ya husika.
R.I.P Comrade....
Huyu alikuwa anatumia jina lake hilo hilo na ndio jina lake.
 
Poleni sana wote mnaohusika na msiba huu! Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake ndio marejeo yetu na Hakika kila nafsi itaonja mauti!
 
R.I.P Kenny! Allah ampunguzie adhabu ya kabri na amuwekee nuru katika kaburi lake.
 
Back
Top Bottom