TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

Muda wote aliwahimiza Waisilamu wasilalamike kuwa wakristu wanapendelewa bali nao wajitahidi kusoma Elimu ya dunia ili waweze kuajiliwa kama wengine. Pia amekuwa mtu wa kutatua migogoro ya waisilam kama msikiti wa Mtoro n.k. Kwa waislam wengi amekuwa mbaya lakini ni mtu aliyetaka kusuruisha migogoro

..... we mnafiki MATHIAS KABYEMERA tuna hoji ile 'Parokia ya Necta' inayokata majina Waislaam.

Hakuna maeneo yanayoishi Waislaam ambayo wazazi wamefikishwa Mahakamani kwa watoto wao kuto pelekwa shule. hizo Kesi tunazikikia huko Bara. Hivyo koma na unafiki wako !
 
Acha upumbavu weye NECTA waita parokia? mnafeli kwa ujinga wenu halafu mnaisingizia NECTA mpuuzi Sana wewe!!
 
Tumsindikize kwa dua njema dhidi yake.
Nasisi tuko njia hiyohiyo. Be prepared.
 
..... we mnafiki MATHIAS KABYEMERA tuna hoji ile 'Parokia ya Necta' inayokata majina Waislaam.

Hakuna maeneo yanayoishi Waislaam ambayo wazazi wamefikishwa Mahakamani kwa watoto wao kuto pelekwa shule. hizo Kesi tunazikikia huko Bara. Hivyo koma na unafiki wako !
Debe tupu haliachi kutika!!!

Kichwani umejaza viwavii ndiyo sababu huishi kuwashwa kichwa!!!
 
RIP Sheikh Simba kiongozi mahiri aliyepeleka uislam mbele mpenda amani ya kweli tutakumbuka mchango wako mkubwa katika ujenzi wa taifa.

Taifa limempoteza kiongozi mashuhuri ukanda wote wa Afrika mashariki na kati hakika itachukua muda mrefu sana BAKWATA kupata kiongozi mwenye maono makubwa kama Simba.

Mungu aiweke roho yako mahali panapostahili.
 
Acha upumbavu weye NECTA waita parokia? mnafeli kwa ujinga wenu halafu mnaisingizia NECTA mpuuzi Sana wewe!!

........... mpuuzi ni wewe unao kwepa ukweli ! Hiyo elimu yenu inawasaidia nini zaidi ya kuabudu masanamu mnayo nunua dukani na kukalia wizi na rushwa ! lusungo
 
Last edited by a moderator:
Debe tupu haliachi kutika!!!

Kichwani umejaza viwavii ndiyo sababu huishi kuwashwa kichwa!!!

Wewe mwenye akili uliye someshwa na pesa za mamako kuuza wanzuki na dengerua tunaona ulivyo na bidii ya kuiba huko sserikali. Mmeamua wizi kushirikisha mpaka Kanisa na Maaskofu Ileje
 
Last edited by a moderator:
..... we mnafiki MATHIAS KABYEMERA tuna hoji ile 'Parokia ya Necta' inayokata majina Waislaam.

Hakuna maeneo yanayoishi Waislaam ambayo wazazi wamefikishwa Mahakamani kwa watoto wao kuto pelekwa shule. hizo Kesi tunazikikia huko Bara. Hivyo koma na unafiki wako !

wacha up..umb..avu
 
Mimi NI MKRISTO (RC) huwa namkubali sana Mufti pamoja na sheik mkuu wa Dar-es-salaam wote wawili hawa wanaupeo wa hali ya juu sana hakika tumepoteza mtu muhimu sana, R.I.P Sheikh mkuu wa tanzania ,MUFTI ISSA BIN SHAABAN SIMBA.
 
wacha up..umb..avu

....... upumbavu ni kusoma halafu ukawa mwizi na mla rushwa, au kununua mungu dukani kisha ukamuabudu au kuwa mlevi na mshenzi ! Bora kuwa mjinga usiye na madhara kuliko mwenye elimu unaye dhuru watu (bongo Fleva quote !) chakii
 
Last edited by a moderator:
RIP Mufti Simba
hakika ulijitahidi sana kuongoza bakwata....tulitamani uishi milele....haikuwa rahisi kuongoza taasisi yenye mgawanyika ila ulimudu vyema
utakumbukwa daima
 
Mimi NI MKRISTO (RC) huwa namkubali sana Mufti pamoja na sheik mkuu wa Dar-es-salaam wote wawili hawa wanaupeo wa hali ya juu sana hakika tumepoteza mtu muhimu sana, R.I.P Sheikh mkuu wa tanzania ,MUFTI ISSA BIN SHAABAN SIMBA.

u r appreciated....tutammiss sana MUFTI SIMBA....ALIKUWA MUELEWA SANA
 
Sheikh wa Dar es salaam anastahili kuchukua mikoba yake..RIP sheikh Simba
 
Mimi NI MKRISTO (RC) huwa namkubali sana Mufti pamoja na sheik mkuu wa Dar-es-salaam wote wawili hawa wanaupeo wa hali ya juu sana hakika tumepoteza mtu muhimu sana, R.I.P Sheikh mkuu wa tanzania ,MUFTI ISSA BIN SHAABAN SIMBA.

Ni kweli...
 
Back
Top Bottom