idoyo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 3,051
- 1,423
Angalia kurasa hizi za magazeti haya ya leo Juni 16, 2015 kisha soma uandishi kuhusu Kifo cha Sheikh Simba (na mazishi yake). Huo utofauti wa habari umesababishwa na nini wakati taarifa ilotolewa ni moja?
hawa wana habari zao;
Jambo Leo: Atazikwa Shinyanga Alhamisi (Juni 18, 2015)
Majira: Atazaikwa Oktoba 18
na hawa wana yao;
Uhuru: Atazikwa Leo (Juni 16, 2015)
Habari Leo: Atazikwa Loe (Juni 16, 2015)
hawa wana habari zao;
Jambo Leo: Atazikwa Shinyanga Alhamisi (Juni 18, 2015)
Majira: Atazaikwa Oktoba 18
na hawa wana yao;
Uhuru: Atazikwa Leo (Juni 16, 2015)
Habari Leo: Atazikwa Loe (Juni 16, 2015)