TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

nataka kujua wametumia kigezo gani kumzika alhamis naanza kukosa iman wanatuelimisha hivi wao wanafanyavile

Taarifa za uhakika na zenye nguvu ni kuwa muft Simba atazikwa kesho siku ya j'4 baada ya swala ya mchana..
 
Tupe C V ya mamako kwanza ! Tunajua umesomeshwa na pesa za wanzuki na dengerua. Red Giant

Hahahaaa, huu ndio mfano bora wa mafundisho ya mtume, kua aggressive hata kwa jambo dogo, kujibu kwa jabza kwa jambo dogo na kutokufikiri kabisa na ukishindwa jilipue ufe. Hapa nadhani unatamani kujifunga bomu ufe na huyo jamaa alieomba cv.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa, huu ndio mfano bora wa mafundisho ya mtume, kua aggressive hata kwa jambo dogo, kujibu kwa jabza kwa jambo dogo na kutokufikiri kabisa na ukishindwa jilipue ufe. Hapa nadhani unatamani kujifu bomu ufe na huyo jamaa alieomba cv.

Yesu alijilipua msalabani na mnashangilia Pasaka
 
Ukimya wake na utaratibu wa kusuruhisha mambo ilikuwa ni nguzo kwa waislamu na wapenda amani. Bila shaka Mungu atawainulia kiongozi mwingine wa aina yake.

Ni kweli uyasemayo mratibu wangu mstaafu, Mzee Simba ni mfano wa kuigwa na wapenda amani wote.
Mungu amweke panapostahili.
 
Unashangaa nini? wakati miaka ya 1970 BAKWATA ilikuwa inamiliki over 70 fleet of Fiat 682 na tela zake, Kiwanja cha kujenga chuo Kikuu pale Kibasila na nyumba na maghorofa kadhaa Kitumbini.
Leo ni sifuri. moshdar
ni ngumu sana kukuelewesha Ally kwa sababu wewe unaongea ukiwa ndani ya box. upo ndani ya pembe nne za box la kidini, huoni nje ambapo kuna mabox mengine mengi sana na kila box lina nafasi na opportunities kibao.

Skiiza Sheikhe, usikubali kujifungia ndani ya box moja bali jitahidi uwe huru kifikra na kimawazo, utoke nje, uingie na kutoka kwenye kila box na pia upate nafasi ya kukaa nje ya mabox yote na kuyatizama kwa nje kutoka mbali kama vile wazungu watokavyo nje ya dunia, kutua mwezini na kuiangalia dunia kutoka mwezini.

Pengine una nia njema Ally lakini bahati mbaya sana mawazo yako yamefungiwa ndani ya box moja shekhe wangu. nakuonea huruma sana. ni matokea ya miaka mingi ya utumwa na kutawaliwa....kwa wenGi itachukua muda kujikomboa lakini naamini itatokea siku moja.

nashukuru sana nipo huru kimawazo japo bado minyonyoro ya "umaskini" imeifunga nchi yetu. Angalau kuwa huru kimawazo na kifijkra ni faraja kubwa. namjua mwarabu na namjua mzungu. yeyote kati yao, na au mwingine yeyote yule awaye, katu hawezi kunitawala tena kisaikolojia labda atumie nguvu za kijeshi.

tatizo ni kwa akina Kombo
 
Taarifa ambazo zimetufikia punde zinaeleza kuwa kiongozi mkuu wa waislamu nchini Tanzania Mufti Issa Bin Shaaban Simba amefariki dunia.Mungu ailaze roho yake mahala pema amina
Chanzo....Redio one stereo
 

Attachments

  • 1434404005957.jpg
    1434404005957.jpg
    16.3 KB · Views: 169
Unashangaa nini? wakati miaka ya 1970 BAKWATA ilikuwa inamiliki over 70 fleet of Fiat 682 na tela zake, Kiwanja cha kujenga chuo Kikuu pale Kibasila na nyumba na maghorofa kadhaa Kitumbini.
Leo ni sifuri. moshdar


BAKWATA imefanikiwa Sana kudhibiti mihemko yenu vinginevyo nchi isingetawalika!!

Unafikiri tungeichekea EAMWS Leo ungekuwa na Uhuru Wa kuperuzi JF?

Bwanamdogo tulia hujui mambo weye
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli uyasemayo mratibu wangu mstaafu, Mzee Simba ni mfano wa kuigwa na wapenda amani wote.
Mungu amweke panapostahili.

Alhadi Mussa Salum anatosha kuvaa Viatu vyake...
 
Mkuu inaonesha unashinda sana kwenye kazi kiasi kwamba hata muda wa kuskiliza vyombo vya habari unapata usiku mkuu.

Hiyo habari iliwekwa tangu jana kiongozi na ina comments zaidi ya mia naa ndugu.

Anyway,asante kwa taarifa ndugu.
 
Wewe kweli mtoto wa kuku, muda huu ndio unapata habari ? ulikua mpango wa kando au ni ile inayouzwa kwenye vinailoni kama maji ya kandoro.
Leo tunasafirisha mwili hadi nguzo nane Shinyanga
 
Nimemsikia kupitia Radio DW Sheikh mkuu wa Dar akisema mazishi ya Mufti yatafanyima Shinyanga siku ya Alhamisi. HILI limenistua mno na naomba wasomi wa kiislamu waje watusaidie kuwa hili ni katika itikadi ya kiislamu au la. Kiongozi wa dini kufariki asubuhi ya leo na kuzikwa Alhamisi tena Shinyanga.

Kipi kimezuia asizikwe leo au hata kesho asubuhi?

Sio kiongozi mkuu wa waislam ni kiongozi mkuu wa bakwata

Masahihisho mleta uzi,waislamu kiongozi chetu ni kitabu msahafu(kuran) sio binadam,kwa kuwa binadam ana mwisho,

Nduguzanguni, mbona mnapishana ingali mapema hivi?
Sasa hapa tuelewe nini, alikua kiongozi au hakua kiongozi?
 
Haya mambo ya kuzika watu wakiwa wa moto (hai) yamepitwa na wakati. Dunia ya leo watu wanaishi mbali, wanafanya kazi mbali, wanasoma mbali huko Ulaya na kwingineko. Yaani hata watoto wasishuhudie mazishi ya mzazi wao; mambo gani haya. Labda FaizaFoxy na Ritz watatusaidia kwenye hili.

Acha kuwa mtumwa wa fikra. Pinga na simamia unachokiamini, even if you are alone. Kwahiyo hao ndio wamebeba "jibini" ya kichwa chako.?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom