TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

Na yeye kukaa Guest ya Mkiristo mshenzi si hoja, ilimradi alilipa na kulala chumba chake. Tiba

Naona shida yako ni kutukana ukristo, na tatizo hapa sio dini ya mmiliki wa hiyo hoteli, tatizo ni sifa mbaya ya hiyo hoteli.

Tiba
 
Last edited by a moderator:
"Baraza Kuu la Waislam wa Tanzania litakuwa ndiyo chombo pekee cha kuongoza Waislamu na litakuwa na kauli ya mwisho katika kulinda, kutetea na kueneza Uislam na nadharia yake Nchini kwa mujibu wa Qur-aani na Sunna."

Mkuu hiyo ni nukuu ya katiba ya bakwata.

yes umenena vizuri sana hiyo ni katiba ya BAKWATA na si ya waislam
 
Mimi najua Shehe mkuu ndiye kiongozi wa Waislamu hapa Tanzania kama wewe ni kundi la IS and Alshabab shauri yako

tanzania hatuna sheikh mkuu tuna kiongozi wa tawi la CCMBAKWATA
 
Ni kweli uyasemayo mratibu wangu mstaafu, Mzee Simba ni mfano wa kuigwa na wapenda amani wote.
Mungu amweke panapostahili.
Muda wote aliwahimiza Waisilamu wasilalamike kuwa wakristu wanapendelewa bali nao wajitahidi kusoma Elimu ya dunia ili waweze kuajiliwa kama wengine. Pia amekuwa mtu wa kutatua migogoro ya waisilam kama msikiti wa Mtoro n.k. Kwa waislam wengi amekuwa mbaya lakini ni mtu aliyetaka kusuruisha migogoro
 
Umesoma nae madrasa ama chuoni? Poleni sana wafiwa.
Mimi nimekuwa katika kamati ya maridhiano ya dini zote. Hata Wiki hii nina shughuli kama hizo. Naelewa mchango wake katika kutatua migogoro ya imani. Kumjua mtu sio lazima usome nae.
 
tanzania hatuna sheikh mkuu tuna kiongozi wa tawi la CCMBAKWATA
Tumetoka kwa M Mungu na kwake sote tutarejea. M Mungu amsamehe madhambi yake na amlipe kwa mema yake. Amin.

Dini zetu zinatufundisha kwamba mtu anapotangulia mbele ya haki husemwa kwa mazuri yake na sio mabaya yake. Wach
 
Kifo tumeumbiwa. Pollen wapendwa wenzetu,waislam name watanzania wrote wapenda aman
 
Pigo kubwa sana kwa kambi ya Lowassa.Walau kikwete atapumua.ilifikia wakati walichuniana kabisa .Mufti aliwahiwa na kuwekewa kiganjani na lowassa.Tunaojua uwezo wa kikuhani wa yule babu,Lowassa atakuwa kapata pigo zito sana
 
Hivi ni mipango ya mungu au mitihani tu ya kidunia? Nguzo kuu za Lowassa zinadondoka katika kipindi muhimu kama hiki.alianza capt.komba akaja Grand Mufti..next???
Hawa walikua watu wajuu kabisa katika fitna za kumpeleka Ngoyai ikulu
 
........ jamaa alisahau kuwa Mungu haongeki !
 
Naona shida yako ni kutukana ukristo, na tatizo hapa sio dini ya mmiliki wa hiyo hoteli, tatizo ni sifa mbaya ya hiyo hoteli.

Tiba

Sifa mbaya ya hiyo Hoteli inayomilikiwa na Mkiristo Tiba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom