TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

ahahaaaaa, waafrika tuna bakhati mbaya sana shekhe wangu!! zile za kwetu waliziita ni za kishenzy

Kuabudu kichaka kweli ni dini ya kishenzi!
Kichaka kikifyekwa ndo basi tena! moshdar
 
Last edited by a moderator:
Unashangaa nini? wakati miaka ya 1970 BAKWATA ilikuwa inamiliki over 70 fleet of Fiat 682 na tela zake, Kiwanja cha kujenga chuo Kikuu pale Kibasila na nyumba na maghorofa kadhaa Kitumbini.
Leo ni sifuri. moshdar

Poleni, sasa unalialia nini na wakati mafundisho na Iman yenu hairuhusu elimu dunia.

Mufti alikuwa akiyatekeleza mafundisho ya Allah...
 
Last edited by a moderator:
Kaka mimi huko kwenye udini wako mimi sipo, nimeandika ninachokijua, kama ni uongo kanusha. Hilo la mmiliki kwangu sio hoja.

Tiba

Na yeye kukaa Guest ya Mkiristo mshenzi si hoja, ilimradi alilipa na kulala chumba chake. Tiba
 
Last edited by a moderator:
kwani kuomba CV ya mufti kuna ubaya gani wandugu?

Binafsi nimeshangaa wanavyokashifu. Hata kama imani hairuhusu kutoa CV, siamini kama mafundisho hayo yanashauri kukashifu. Naomba kuuliza, je kwenye msiba haitasomwa hiyo CV??? Kama itasomwa, je ni kosa kwa mtu kuiomba??? Nimeshangazwa sana!
 
Poleni, sasa unalialia nini na wakati mafundisho na Iman yenu hairuhusu elimu dunia.

Mufti alikuwa akiyatekeleza mafundisho ya Allah...

Elimu zote zipo ndani ya Uislaam, ndio maana unasikia Islamic Banking au Kadhi Court. Waendeshaji wamesoma na vyeti vyao havina alama ya msalaba kama cha Saint Augustino au Tumaini. chakii
 
Last edited by a moderator:
We usituletee ndoto za asubuhi lete ushahidi wa hayo unayo sema uislam ni dini ya dalili thabit sio kubwabwaja
 
System inamwandaa sheikh Alhadi Mussa Salum kuwa mufti....

Wapenda Amani wote tumuunge mkono ndugu Alhadi ni mstaarabu Sana na atafiti vizuri nafasi ya u mufti....

CC: Ritz FaizaFoxy sakni Pol Pot Ally Kombo et al
 
Last edited by a moderator:
System inamwandaa sheikh Alhadi Mussa Salum kuwa mufti....

Wapenda Amani wote tumuunge mkono ndugu Alhadi ni mstaarabu Sana na atafiti vizuri nafasi ya u mufti....

CC: Ritz FaizaFoxy sakni Pol Pot Ally Kombo et al
 
Last edited by a moderator:
Elimu zote zipo ndani ya Uislaam, ndio maana unasikia Islamic Banking au Kadhi Court. Waendeshaji wamesoma na vyeti vyao havina alama ya msalaba kama cha Saint Augustino au Tumaini. chakii

Taasisi chache sana hizo wala siyo za kujivunia maana haziwafikii hata asilimia 1% ya Watanzania , Kazeni buti.

Mnatakiwa kubadilika muache kulialia huku mkitegemea huruma ya Serikali kuwafikiria na Sheria kali za kiislam ambazo hazitawafikisha popote.
 
Last edited by a moderator:
sijaelewa nduguzangu nilitegemea angezikwa Leo nasikia kupitia vyombo vya habari mazishi ni alhamis hi imekaaje kiimani
mungu ampumzishe mahala Peña.amina
 
sijaelewa nduguzangu nilitegemea angezikwa Leo nasikia kupitia vyombo vya habari mazishi ni alhamis hi imekaaje kiimani
mungu ampumzishe mahala Peña.amina

Unataka kushindana na dola wewe...
 
Taasisi chache sana hizo wala siyo za kujivunia maana haziwafikii hata asilimia 1% ya Watanzania , Kazeni buti.

Mnatakiwa kubadilika muache kulialia huku mkitegemea huruma ya Serikali kuwafikiria na Sheria kali za kiislam ambazo hazitawafikisha popote.

Sisi hatuna MoU
 
Tupe C V ya mamako kwanza ! Tunajua umesomeshwa na pesa za wanzuki na dengerua. Red Giant

Muislamu safi wewe, acha kuwatusi wenzio. Hiyo ndiyo swala yenu kutukama hata usiowajua...
 
Last edited by a moderator:
Binafsi nimeshangaa wanavyokashifu. Hata kama imani hairuhusu kutoa CV, siamini kama mafundisho hayo yanashauri kukashifu. Naomba kuuliza, je kwenye msiba haitasomwa hiyo CV??? Kama itasomwa, je ni kosa kwa mtu kuiomba??? Nimeshangazwa sana![/
Msiba wa kiislam ni ibada ilio na matendo maalum.anapo fariki muislm tumeamrishwa kumuombea duwa na kutaja matendo yake mema haya ndio yatakayo msaidia yeye mbele ya Allah pia yatatusidia sisi tuliobaki ama Cv kwa maiti wa kiislam haina nafasi,wala hatukuamrishwa hilo. labda hilo linanafasi mbele ya bwana yesu.Cv zinaweza kukunusuru na adhabu ya kaburi kama zikitajwa mazikoni
 
Muda mfupi uliopita nimepata taarifa kuwa Kiongozi Mkuu wa Waislamu nchini Tanzania Mufti Issa Bin Shaaban Simba amefariki dunia.

Hakika ni majonzi na pigo kubwa kwa Waislam na watanzania kwa ujumla. Amezaliwa Shaaban na ameondoka ndani ya mwezi wa Shaaban,Innalilah wainailah Rajiun.

Mwenyezi mungu ampe kauli thabiti na amjaalie pepo ya kheri na kumsamehe madhambi yake.

The Grand Muft of Tanzania has passed away
.

View attachment 260384
Hii habari inahusina vipi na Siasa? Au Uislam ni siasa?
 
Back
Top Bottom