TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

waislamu na uislam wao bhana...yaan ni manung'uniko na fujo kila mahal, dunia nzima. huwez kuta hawa jamaa wameridhika. mara hawa wameteka msikikiti, mara wale hawamtaki shekhe mkuu, yaan ni shaghalabalha

Ni ngumu kuwaelewa hawa watu
 
unataka umpe job marehemu???! au umpe respect wkt ameshafariki?!!!
 
Mkandara hebu tupe msingi wa dini uliovunjwa? Au unafuata mkumbo tu Mkuu. Hakuna lazima ya kuzikwa kwa maiti siku hiyo hiyo kwenye Uislamu. Mtume Muhammad (SAW) alifariki Jumatatu na kuzikwa Jumatano. Mfalme wa Saudia hata sio kiongozi wa kidini ndio umeona utolee mfano?Kifo cha Mufti Simba msikitumie kisiasa. Mwacheni marhum apumzike mahali pema peponi. Amin
Mkuu wangu swala la kuzika haraka limetokea toka enzi ya Adam na mitume walomtangulia Muhammad na sababu zilielezwa kwa hiyo sitopenda kubishana juu ya Dini. Kama Muhammad alikufa J'tatu na kazikwa J'tano zipo sababu za kufanya hivyo na kwa mapenzi ya walotaka kumzika haihusiani na Uislaam wala haina maana ilikuwa sawa. Wewe unajua wazi kwamba baada ya Roho kumtoka mtu ule mwili unabakia has no effect on account of the soul. Ni sawa na Fanta ilomwagika mnabakia na Chupa tupu mezani...
 
unataka umpe job marehemu???! au umpe respect wkt ameshafariki?!!!

Ninacho fahamu kabla ya kuwa mufti mkuu, alikuwa ni sheikh mkuu wa mkoa wa Shinyanga. Baada ya kuchaguliwa/kuteuliwa kuwa mufti mkuu, alipotoka Shinyanga kuja Dar akapangiwa kufikia katika hoteli ya Namnaani iliyoko Sinza, hoteli ambayo kwa wale wanaoifahamu ina sifa mbaya kwamba centre ya wafanya ufuska. Sheikh Simba alikaa pale kwa karibu wiki nzima na waislamu wanaoijua sifa ya Namnaani, walikwenda pale wakamuhamisha.

Tiba
 
Ukitaka kujua nchi ya wapumbavu soma hoja zao kwenye jambo lolote lile
 
Ninapenda kuungana na Waislam wote walioguswa na Msiba huu mzito.

Aidha, wakati tunaomboleza na kutafakari jinsi ya kumuenzi, ni vema mwenye CV yake atuletee hapa jukwaani.

Tunapoamua kumuenzi tujue tunamuenzi mtu wa hali ipi? Amesomaje? Ana level ipi ya ilim dunia.

Marhum amehitimu masomo ya Dini na ana Diploma ya Islamic Law.
C V yake haiwezi kumsaidia kuomba kazi Mkombozi Bank ili afanye kazi ya kusafisha pesa za 'masakata'
Mgombea Mwenza
 
Last edited by a moderator:
Umesahau Vita ya Jimbo la Kanisa Arumeru ? Wameru walikunya Altareni na kuwapiga mawe Maaskofu wa Kichaga.
Mrema katika ubora wake akahamgaia nalo kidogo limtoe roho!
Kuwa na kumbukumbu Mgalatia moshdar
Watu wamekunya Altareni mbele ya Bwana Yesu. Wameru walimnajisi
shekhe Kombo vip? unataka kujilipua? aahahahaa

isikupe tabu tabu sana mkuu, dini zenyewe za wenyewe hizi, waarabu na wazungu..ahahahaa
 
Ninacho fahamu kabla ya kuwa mufti mkuu, alikuwa ni sheikh mkuu wa mkoa wa Shinyanga. Baada ya kuchaguliwa/kuteuliwa kuwa mufti mkuu, alipotoka Shinyanga kuja Dar akapangiwa kufikia katika hoteli ya Namnaani iliyoko Sinza, hoteli ambayo kwa wale wanaoifahamu ina sifa mbaya kwamba centre ya wafanya ufuska. Sheikh Simba alikaa pale kwa karibu wiki nzima na waislamu wanaoijua sifa ya Namnaani, walikwenda pale wakamuhamisha.

Tiba

Namnaano inamilikiwa na Mkiristo Tiba
 
Last edited by a moderator:
So sad!!! wanavunja mafundisho ya dini kwa ajili ya siasa?Wanauvuruga Uislamu.Mufti angezikwa leo leo kuonyesha kuwa uislamu haubagui katika mafundisho yake.
Uko sahihi mkuu, waislam hawana utaratibu wa kumsubiri mtu kufika kwenye mazishi na pia alipofia mwislam ndipo atapozikiwa sasa kwa msiba wa huyu Mzee tayari siasa ishaingia kwani hakukua na sababu yoyote ya kufanya mazishi siku ya alhamisi.
 
shekhe Kombo vip? unataka kujilipua? aahahahaa

isikupe tabu tabu sana mkuu, dini zenyewe za wenyewe hizi, waarabu na wazungu..ahahahaa

Ya Waislaam ni ya walimwengu woote! moshdar
 
Last edited by a moderator:
Namnaano inamilikiwa na Mkiristo Tiba

Kaka mimi huko kwenye udini wako mimi sipo, nimeandika ninachokijua, kama ni uongo kanusha. Hilo la mmiliki kwangu sio hoja.

Tiba
 
Last edited by a moderator:
Hakika mkuu,I declare interest kiwa me ni Islam ila kati ya taasisi znazoendeshwa kibabaishaji duniani basi BAKWATA ipo kwenye top 3,Yote hii ni kwa maslahi ya seeikali na viongozi wa BAKWATA wachumia tumbo,wanaosubiri makontena ya tende toka arabuni wagawane,kugombea sadaka na kuwa mjumbe wa kamati za fedha za misikiti na majengo yao!!!

maaaakubwa!!

cc Ally Kombo
 
Nipo tabora kwa sasa nmeskia sehem jioni hii watu wanabshana kuhusu muft. Nmejskia vbaya sana amewatetea sana waislamu wa huku juu ya umiliki wa mskti wa ijumaa apumzke kwa amani amen
 
Hivi nyie aliwaelewa nani kwa kunywa damu ya mungu wenu na kula mwili wake !? Kichwa Ndio Mtu
shekhe wangu wao hakuna anaewaelewa, halikadhalika na ninyi hakuna anayewaelewa..

sasa dawa ni kurudi kwenye dini zetu tu za kiafrika. hizi za waarabu na wazungu ni shida. zinatufanya tunakuwa hatueleweki.
 
maaaakubwa!!

cc Ally Kombo

Unashangaa nini? wakati miaka ya 1970 BAKWATA ilikuwa inamiliki over 70 fleet of Fiat 682 na tela zake, Kiwanja cha kujenga chuo Kikuu pale Kibasila na nyumba na maghorofa kadhaa Kitumbini.
Leo ni sifuri. moshdar
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom