donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
labda yeye Kinjekitile risasi zitageuka maji
Kumbe na wewe uelewe mdogo,Nazi.Nime fuatilia kutoka mwanzo nimesoma comments za Uzi wote,wewe ndo mpumbavu ndio maana jamaa kakuchana, mbona hujiulizi umechanwa peke ako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mvuta bangi haezi fanya mimi nijiulize lolote.Vuta reply yangu ya kwanza usome vizuri uelewe kisha rudi hapa,..
acha uongo kijanaSi walimuwahi...wakampa.kesi aliposhinda kesi maana mahakama ilimuagiza alete wagonjwa 7 kama ushahidi yeye akaleta 77. Akashinda kesi. Ndo ghafla akafariki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajabu kubwa ni blacks wanauana wao kwa wao,wala msiwasingizie CIA,ss waafrika ni hovyo kabisa,hovyoooo, hayo maneno hujaandika wewe ? Au unaota , aliekuambia wazungu hawauani nani ? Wale wanaoenda kuuwa watu misikitini na mashuleni ni waafrika ? Cha kuwatukana waafrika wenzio ninini ?
screpa ww kiboko utafikiri ni huyo marehemu Nipsey ndiyo kajanyoa madevu yake, km yeye kilimtouch angerudi nyumbani Afrika kututibu si kupiga magumashi na DocumentaryAnataka mtelemko wa kupiga hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!nilijua ni peke yangu kumbe tuko wote
Mamtu yalikazana ooo CIA CIAHate& envy tu ....naona police washu identify mtu aliyempiga risasi nipsey hustle anafahamika kwa Jina la Eric Holder!
Ndiyo wanamsaka sahvi
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudia tena kusoma huenda ukaelewa,Ajabu kubwa ni blacks wanauana wao kwa wao,wala msiwasingizie CIA,ss waafrika ni hovyo kabisa,hovyoooo, hayo maneno hujaandika wewe ? Au unaota , aliekuambia wazungu hawauani nani ? Wale wanaoenda kuuwa watu misikitini na mashuleni ni waafrika ? Cha kuwatukana waafrika wenzio ninini ?
Nirudie kusoma ujinga wako ulioandika soma wewe , kuwatukana waafrika wenzio na kuwalamba wazungu , unawajua vizuri wazungu wewe au umewaona kny sinema.Rudia tena kusoma huenda ukaelewa,
Halafu nambie wapi nimesema wazungu hawauani,
Ujinga ni kulazimisha maana unayoona wewe zaidi ya ile ya aliyeandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena kwa taarifa yako ukiwasema vibaya waafrika wenzio mbele ya hao wazungu wako wanakudharaau kabisa ..Rudia tena kusoma huenda ukaelewa,
Halafu nambie wapi nimesema wazungu hawauani,
Ujinga ni kulazimisha maana unayoona wewe zaidi ya ile ya aliyeandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wale wazungu wanaoua watoto kwenye shule zao , walikua wanatetea nini? kwenye nchi zao , swala la mtu mmojamoja na udhaifu wao usichukuliwe kua waafrika au blacks niwahovyo , Martin Luther king alikua mzungu ? Si ni black alifanya nini.?American white men will done anythng necessary for the benefits of their country dont try to underestimate them ,,,,hv bob marley alipose threat gan kwa us government au jf kennedy au abraham lincoln mbn tunasahau historia kuna society within government a secret society which will do everythng that is best for the country and their existance
Sent using Jamii Forums mobile app